-
Zimbabwe yaamua kuuza wanyama pori kutokana na janga la ukame
May 03, 2016 11:58Serikali ya Zimbabwe imetangaza leo kuwa inawauza wanyama pori wake na kueleza kwamba inahitaji wanunuzi wa kuchukua hatua ya kuwaokoa wanyama hao na maafa ya ukame.
-
UNICEF yaonya kuhusu lishe duni kwa watoto wa Afrika
Feb 17, 2016 22:41Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema kuwa, kuna watoto milioni moja wana lishe duni barani Afrika