-
CNN: Kuiwekea vikwazo Iran kutaidhoofisha Marekani
Nov 04, 2018 23:45Kanali ya televisheni ya Marekani CNN imeripoti kuwa, kutounga mkono Ulaya hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Iran kutazidi kudhoofisha nguvu za Marekani.
-
Hatua za mwisho za Ulaya za kuanzisha mfumo huru maalumu wa kifedha kati yake na Iran
Nov 03, 2018 23:05Kufuatia kutangazwa duru mpya ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vinatazamiwa kuanza kutekelezwa kuanzia tarehe 5 mwezi huu huku vikijumuisha sekta ya mafuta, benki na safari za meli; nchi za Ulaya zimetoa taarifa zikisisitiza kupiga hatua kubwa katika kutayarisha mfumo huo maalumu wa kifedha kati yake na Iran.
-
Netanyahu: Ni kweli Israel imehusika na njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na EU
Nov 02, 2018 04:11Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, Tel Aviv imehusika katika wimbi la hivi karibuni la upotoshaji, hadaa na tuhuma za urongo zinazozushwa na baadhi ya nchi za Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Seneti ya Ufarasa: Ulaya inapasa kusimama imara kukabiliana na vikwazo dhidi ya Iran
Nov 01, 2018 04:36Kamisheni ya Masuala ya Ulaya katika Seneti ya Ufaransa imesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni mtihani mkubwa kwa nguvu ya kisheria na kiuchumi ya Ulaya na kusisitiza kuwa nchi za bara hilo zinapasa kukabiliana vilivyo na changamoto hiyo.
-
Ulaya yakerwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kulindwa mapatano ya JCPOA
Oct 30, 2018 22:50Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akijaribu kuvuruga mapatano ya kimataifa yaliyofikiwa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1 kwa kisingizio kuwa ni mapatano mabaya zaidi ya kimataifa kuwahi kufikiwa na Marekani.
-
Wanadiplomasia wa Ulaya: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vitadhoofisha sarafu ya Dola
Oct 29, 2018 10:19Wanadiplomasi kadhaa wa Ulaya wamesema kuwa, vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, vitapelekea kudhoofika kwa sarafu ya Dola ya nchi hiyo.
-
Trump azidi kupata pigo; Iran na Ulaya kufungua kanali maalumu ya mabadilishano ya fedha za kigeni
Oct 27, 2018 04:03Siasa za Marekani za kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimezidi kupata pigo baada ya nchi za Ulaya na Tehran kuamua kufungua kanali maalumu ya kifedha kwa ajili ya wasafirishaji nje bidhaa wa pande hizi mbili.
-
Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya: Kumvunjia heshima Mtume wa Uislamu si uhuru wa kujieleza
Oct 26, 2018 01:19Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya imehukumu kwamba, kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) si sehemu ya uhuru wa kujieleza.
-
Kushadidi radiamali za Ulaya dhidi ya jinai za Saudi Arabia
Oct 22, 2018 23:33Utawala wa Saudi Arabia ambao daima umekuwa ukijifakharisha kuwa na uhusiano mzuri na madola ya Magharibi, filihali unakabiliwa na changamoto ambayo haijawahi kushuhudiwa katika uga wa kimataifa.
-
Kukataliwa na madola ya Magharibi simulizi za Saudia kuhusu hekaya ya mauaji ya Khashoggi
Oct 21, 2018 23:35Moja ya matukio makubwa zaidi ya ukiukaji haki za binadamu kuwahi kufanywa na utawala wa Aal Saud ni la mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji maarufu wa utawala huo wa kifalme yaliyotokea ndani ya ubalozi wake mdogo ulioko mjini Istanbul, Uturuki.