-
Ayatulllah Larijani: Kuna udharura wa kuweko ushirikiano wa ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kuandaa ibada ya Hija
May 24, 2016 03:26Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, kuna haja ya kuweko ushirikiano wa ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kuandaa ibada ya Hija.
-
Kuongezeka hatua za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa
May 04, 2016 04:06Kamisheni ya Mashauri ya Haki za Binadamu nchini Ufaransa (CNCDH) imetangaza katika ripoti yake ya kila mwaka kwamba, vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vimeongezeka mara tatu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2015.
-
Alkhamisi 28 Aprili 2016
Apr 28, 2016 04:22Leo ni Akhamisi tarehe 20 Rajab 1437 Hijria sawa na tarehe 28 Aprili 2016.
-
Russia: Mgogoro wa Syria yumkini ukageuka na kuwa mzozo kati ya Sunni na Shia
Apr 27, 2016 14:17Russia imeonya kuwa mgogoro unaoendelea kushuhudiwa hivi sasa nchini Syria huenda ukazusha mpasuko mkubwa katika ulimwengu wa Kiislamu.