-
Iran ni muungaji mkono wa umoja wa umma wa Kiislamu
Mar 17, 2017 03:59Mkuu wa Taasisi ya Wakfu na Mambo ya Kheri ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, siasa kuu za Tehran ni kupigania umoja na mshikamano katika umma wa Kiislamu.
-
Kongamano la Umoja wa Umma wa Kiislamu la kukabiliana na utakfiri lafanyika Iran
Feb 26, 2017 04:32Kongamano la sita la "Umoja wa Umma wa kiislamu Katika Kukabiliana na Utakfiri" lilifanyika jana Jumamosi katika mji wa Bojnord kaskazini mashariki mwa Iran na kuhudhuriwa na mamia ya wasomi wa madhehebu ya Kishia na Kisuni.
-
Harakati ya Ansarullah ya Yemen: Marekani na Israel ndio maadui wa Umma wa Kiislamu
Dec 17, 2016 16:42Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imesisitiza juu ya udharura wa kutumiwa mafundisho ya Bwana Mtume (saw) kwa ajili ya kukabiliana na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tawala mbazo ni maadui wa Umma wa Kiislamu.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds; Siku ya Mwamko wa Umma wa Kiislamu
Jun 26, 2016 15:54Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ni Siku ya Kimataifa ya Quds. Hiyo ni siku ya mwamko wa Umma wa Kiislamu mbele ya dhulma, ukandamizaji na utumiaji mabavu wa mababeru.