-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Fikra ya Umoja wa Kiislamu
Dec 12, 2016 07:13Assalamu Alaykum Wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya makala hizo zinazokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume Muhammad (saw). Kipindi chetu leo kitazungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra ya umoja baina ya Waislamu.
-
Umoja katika mtazamo wa wanazuoni wa Kisuni
Dec 12, 2016 04:30Wanazuoni wengi wa Kisuni sambamba na wenzao wa Kishia wamekuwa wakitoa wito wa kuwepo umoja katika Umma wa Kiislamu na kutahadharisha dhidi ya madhara ya mifarakano katika umma wa huu. Katika kipindi hiki na kwa mnasaba wa kuwadia Wiki ya Umoja wa Kiislamu tutachunguza baadhi ya mitazamo ya wanazuoni wa Kisuni kuhusiana na suala zima la umoja wa madhehebu ya Kiislamu.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu wafanyika Ivory Coast
Dec 05, 2016 11:30Mkutano wa kwanza wa Umoja wa Kiislamu umefanyika nchini Ivory Coast ukiwashirikisha wahadhiri wa vyuo vikuu, wanachuo na wanafunzi wa shule za Kiislamu nchini humo mjini Abidjan.
-
Ayatullah Rafsanjani: Umoja baina ya Shia na Suni ni jambo lenye ulazima
Mar 13, 2016 00:01Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja baina ya Shina na Suni una umuhimu mkubwa mno hususan katika hali na mazingira tete na hasasi yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni.