-
Watoto milioni 449 wanaishi katika maeneo ya migogoro
Jun 04, 2023 07:42Shirika la Save the Children limesema mamia ya mamilioni ya watoto wanaishi katika maeneo yenye migogoro ya kivita na wanakabiliwa na hatari ya kifo.
-
UN: Watoto nusu milioni wa Yemen wanakabiliwa na utapiamlo
May 28, 2023 03:14Mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa yameonya kuwa, watoto zaidi ya laki tano wa Yemen wanawajihiwa na utapiamlo wa kiwango cha juu, hali inayotishia maisha yao.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia azungumza kwa simu na Mjumbe wa UN katika masuala ya Syria
May 14, 2023 03:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria.
-
Ujumbe wa kuchaguliwa Iran kama mwenyekiti wa Jukwaa la Kijamii la Haki za Kibinadamu
May 13, 2023 21:54Ali Bahraini, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashirika ya kimataifa mjini Geneva amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kikao cha 19 cha Jukwaa la Kijamii la Baraza la Haki za Binadamu mwaka 2023.
-
UN: Hali Sudan ingali ni tete, ufikishaji misaada kwa wahitaji ungali ni changamoto
May 10, 2023 03:25Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema hali ya kibinadamu nchini Sudan ingali tete huku idadi ya wanaofurushwa ndani na nje ikiongezeka na kuna changamoto kubwa ya kufikisha misaada kwa wote wenye uhitaji.
-
Wataalamu wa UN: Israel iwajibishwe kwa mauaji ya Khader Adnan
May 04, 2023 04:47Wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa wametaka Israel iwajibike kwa mauaji ya Khader Adnan, kiongozi Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina ambaye alikata roho na kufa shahidi akiwa anashikiliwa katika jela ya Israel kufuatia mgomo wa kususia kula kwa muda wa siku 87.
-
Rais wa Baraza la Usalama la UN: Hali ya Afghanistan ni tatizo sugu na gumu
May 02, 2023 03:11Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesema, hali ya Afghanistan ni "tatizo sugu na gumu sana" kuweza kushughulikiwa.
-
Yemen: Baraza la Usalama la UN halijawahi kuwa na nia ya kweli ya kurejesha amani nchini Yemen
Apr 30, 2023 22:44Wizara ya Haki za Binadamu ya Yemen imetangaza kwamba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halijawahi kuwa mpatanishi asiyeegemea upande wowote na anayetaka kuwepo amani nchini humo.
-
UN yatahadharishwa: Tafsiri ya 'chuki dhidi ya Uyahudi' isitumiwe kudhibiti ukosoaji dhidi ya unyama wa Israel
Apr 22, 2023 08:36Zaidi ya mashirika 100 ya kutetea haki za binadamu na haki za kiraia yameuonya Umoja wa Mataifa dhidi ya matumizi ya tafsiri ya chuki dhidi ya Wayahudi ambayo inaweza kutumiwa kuzuia ukosoaji wa uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kudhoofisha uungaji mkono wa haki za Wapalestina.
-
Umoja wa Mataifa kujadili na kuamua kuhusu uhalali wa utawala wa Taliban
Apr 19, 2023 02:24Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa: taasisi hiyo itachunguza upya suala la uhalali wa serikali ya Taliban nchini Afghanistan ndani ya kipindi cha wiki mbili zijazo.