-
Madai ya kupewa sumu Navalny, kisingizio kipya cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Russia
Sep 04, 2020 02:52Umoja wa Ulaya na Marekani zimekuwa zikiishinikiza Russia kupitia njia ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo kwa kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Moscow na kutumia madai ya kutetea haki za binadamu.
-
Josep Borell ataka kuchukuliwa hatua za pamoja kimataifa kukabiliana na corona
Sep 01, 2020 08:01Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa kuna udharura wa kuchukuliwa hatua za pamoja kimataifa kwa ajili ya kupambana na virusi vya corona na kuzisaidia jamii zilizoathirika khususan nchi zinazoendelea na maeneo yaliyokumbwa na vita.
-
Kupinga Umoja wa Ulaya hatua ya Marekani ya kutaka kutumia ‘Utaratibu wa Kifyatuo’
Aug 18, 2020 06:24Kushindwa kwa fedheha Marekani katika kupasishwa azimio ililopendekeza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kumeisukuma Washington na kuifanya ifikirie kutumia nyenzo nyingine kama utaratibu wa kusuluhisha mzozano katika JCPOA, unaojulikana kama "Utaratibu wa Kifyatuo", kwa kimombo "Trigger Mechanism".
-
Kuongezeka mvutano kati ya Uturuki na Ufaransa mashariki mwa Bahari ya Mediterania
Aug 14, 2020 23:37Umoja wa Ulaya umetoa radiamali hasi kuhusu hatua ya Uturuki ya kutekeleza miradi ya kugundua mafuta na gesi katika maji ya mashariki mwa Bahari ya Mediterania.
-
Juhudi za Pempeo kuiarifisha China kama tishio kwa nchi za Ulaya
Aug 13, 2020 22:21Tokea aingie madarakani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitekeleza siasa kali na za uhasama dhidi ya China ambapo amekuwa akiendesha vita vya kisiasa, kibiashara na kiusalama dhidi ya nchi hiyo muhimu ya Asia.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko katika duru nyingine ya safari barani Ulaya
Aug 13, 2020 02:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ameanza duru mpya ya safari barani Ulaya baada ya safari nyingine wiki tatu zilizopita. Mara hii Pompeo anatembelea nchi nne za Ulaya ya Kati na Mashariki.
-
EU yaikosoa Saudi Arabia kutokana na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu
Aug 10, 2020 20:58Umoja wa Ulaya umeikosoa Saudi Arabia kutokana na kamatakamata na vifungo vya muda mrefu dhidi ya watetezi wa haki za wanawake nchini humo.
-
Russia yaapa kilipiza kisasi vikwazo vya Umoja wa Ulaya
Jul 31, 2020 22:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa nchi hiyo itajibu mapigo ya vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya shirika la ujasusi la Russia.
-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya China, siasa za kundumakuwili za Brussels
Jul 29, 2020 22:03Ikiwa ni katika kudumishwa siasa za mashinikizo za nchi za Magharibi dhidi ya China, Umoja wa Ulaya kama ilivyofanya Marekani, umeiwekea vikwazo Beijing kwa kisingizio cha kutoheshimu haki za binadamu.
-
Sisistizo la Borrell kuhusu kulindwa JCPOA; nara isiyotekelezeka kivitendo
Jul 20, 2020 02:17Umoja wa Ulaya (EU) na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Ujerumani ni pande zilizokuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).