-
Waislamu wahadharishwa na usambazwaji wa nakala zilizopotoshwa za Qur'ani katika intaneti
Dec 11, 2022 02:29Jumuiya ya Kimataifa ya Uislamu imetangaza kuwa, kuna nakala zilizopotoshwa za Qur'ani Tukufu zinazosambazwa katika baadhi ya tovuti zisizojulikana rasmi.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (9) + Sauti
Oct 15, 2018 11:37Maombolezo ya Muharram katika kila jamii huambatana na tamaduni, mila na taratibu za jamii hiyo. Lakini jambo la msingi na muhimu hapa ni kwamba utamaduni na mila hizo za maombolezo hazipasi kwenda kinyume na mafundisho ya Kiislamu na wala hazipasi kuruhusiwa kuvunjia heshima dini wala kupotosha ujumbe wa Ashura.