-
Uchaguzi wa rais wa Ushelisheli waingia duru ya pili
Sep 28, 2025 07:32Tume ya Uchaguzi ya Ushelisheli imetangaza leo Jumapili kwamba, uchaguzi wa rrais uliofanyika hivi karibuni utaingia duru ya pili, kwani hakuna mgombea aliyepata zaidi ya asilimia 50 ya kura katika duru ya kwanza.
-
Jumamosi, 29 Juni, 2024
Jun 28, 2024 22:51Leo ni Jumamosi 22 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1445 Hijria mwafaka na 29 Juni 2024 Miladia.