• Al Azhar yatilia mkazo umoja baina ya Waislamu

    Al Azhar yatilia mkazo umoja baina ya Waislamu

    Feb 22, 2016 16:36

    Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema Shia na Suni ni mbawa mbili za Uislamu na kwamba kuna udharura wa kufanyika jitihada za kukurubisha pamoja wafuasi wa madhehebu hizo mbili.