-
Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu
Jan 09, 2019 07:46Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu. Kipindi chetu cha leo kitajadili kusimama kidete mapinduzi haya kwa miaka 39 dhidi ya mfumo wa kibeberu. Kuweni nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kusimama kidete kukabiliana na njama za maadui
May 01, 2018 07:16Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Ulimwenguni kwamba kuna udharura wa kusimama kidete kukabiliana na njama za maadui.