Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Onyo la Russia kwa Netanyahu kuhusu msaada wa silaha kwa Ukraine

    Onyo la Russia kwa Netanyahu kuhusu msaada wa silaha kwa Ukraine

    Feb 03, 2023 22:44

    Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel baada ya Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu kutangaza Jumatano usiku kwamba anachunguza suala la kutuma msaada wa kijeshi wa utawala huo nchini Ukraine.

  • Radiamali ya Iran kwa vitendo vya uhasama vya utawala wa Kizayuni na msimamo wa kichochezi wa Ukraine

    Radiamali ya Iran kwa vitendo vya uhasama vya utawala wa Kizayuni na msimamo wa kichochezi wa Ukraine

    Feb 03, 2023 04:47

    Amir Saeed Irwani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumatano, akizungumzia shambulio la kigaidi kwenye kiwanda cha Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, amesema katika barua kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na pia kwa mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama kwamba uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni umehusika na tukio hilo la kigaidi.

  • Iran yakosoa mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu

    Iran yakosoa mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu

    Feb 02, 2023 08:42

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu kwa kuchapisha picha za mashahidi wa Kipalestina waliouawa na jeshi la Israel katika mwezi uliopita.

  • Wanamuqawama wa Palestina wajibu mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni Ghaza

    Wanamuqawama wa Palestina wajibu mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni Ghaza

    Feb 02, 2023 04:37

    Utawala wa Kizayuni leo asubuhi umeyashambulia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Ghaza ambapo hujuma hiyo imekabiliwa na jibu la makundi ya wanamuqawama wa Palestina ambao wamevurumisha maroketi kadhaa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kandokando ya Ukanda wa Ghaza.

  • Kukosoa Mbunge wa Kiislamu kuhusu kuenea chuki dhidi ya Uislamu katika Kongresi ya Marekani

    Kukosoa Mbunge wa Kiislamu kuhusu kuenea chuki dhidi ya Uislamu katika Kongresi ya Marekani

    Jan 31, 2023 22:55

    Ilhan Omar, Mbunge Mwislamu wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani anayewakilisha jimbo la Minnesota amesema kuwa, baadhi ya wajumbe wa chama cha Republican hawataki kuona kunakuweko na Wabunge Waislamu katika Kongresi ya nchi hiyo.

  • Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

    Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

    Jan 28, 2023 23:05

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni.

  • Jihadul-Islami: Misimamo ya Uturuki na UAE kuhusu operesheni ya Quds ni usaliti kwa Palestina

    Jihadul-Islami: Misimamo ya Uturuki na UAE kuhusu operesheni ya Quds ni usaliti kwa Palestina

    Jan 28, 2023 04:40

    Mkuu wa ofisi ya habari ya harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, misimamo ya Uturuki na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kulaani operesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyotekelezwa katika mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu ni usaliti kwa watu wa Palestina.

  • Yemen: Jinai za Israel huko Jenin ni ishara ya kushindwa mpango wa mapatano

    Yemen: Jinai za Israel huko Jenin ni ishara ya kushindwa mpango wa mapatano

    Jan 27, 2023 23:04

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen imetangaza kuwa, jinai za utawala haramu wa Israel katika mji wa Jenin ni ishara ya wazi ya kugonga mwamba juhudi na mipango ya utawala huo katili ya kupenya katika mataifa ya Kiislamu kupitia tawala zilizofanya usaliti.

  • Siku ya umwagaji damu katika kambi ya Jenin; kilele cha misimamo mikali ya baraza la mawaziri la Netanyahu

    Siku ya umwagaji damu katika kambi ya Jenin; kilele cha misimamo mikali ya baraza la mawaziri la Netanyahu

    Jan 27, 2023 03:29

    Ikiwa ni katika kuendeleza ugaidi na jinai dhidi ya Wapalestina wasio na hatia, Alkhamisi asubuhi, baraza la mawaziri lenye misimamo mikali ya kupindukia mipaka la utawala wa Kizayuni lilitekeleza jinai nyingine ya kutisha dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika kambi ya wakimbizi huko Jenin.

  • Onyo la Herzog la kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya utawala wa Kizayuni

    Onyo la Herzog la kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya utawala wa Kizayuni

    Jan 26, 2023 22:41

    Mizozo na migogoro imeongezeka ndani ya utawala wa Kizayuni kiasi kwamba, rais wa utawala huo pandikizi, Isaac Herzog ametishia tena kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe na hali ya Israel kuripuka kutokana na mizozo ya kisiasa na mifarakano shadidi katika jamii ya utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS