-
Iran yasisitiza kukomeshwa chokochoko za utawala wa Kizayuni huko Syria
Jan 26, 2023 04:45Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa: Baraza la Usalama linapasa kuushinikiza utawala wa Kizayuni ili uhitimishe chokochoko na hatua zake za uvamizi dhidi ya mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya Syria.
-
Kan'ani: SEPAH imesambaratisha mikakati ya kibeberu ya Marekani
Jan 26, 2023 00:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limesambaratisha njama za maadui hasa Marekani katika ukanda huu na kuufedhehesha utawala wa Kizayuni.
-
Balozi mwingine wa Israel ajiuzulu kulalamikia serikali ya misimamo ya kufurutu mpaka ya Netanyahu
Jan 23, 2023 07:14Baada ya kujiuzulu balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Ufaransa, balozi wa utawala huo nchini Canada naye pia amejiuzulu wadhifa wake kulalamikia baraza la mawaziri lenye misimamo ya kufurutu ada linaloongozwa na Benjamin Netanyahu na kumuunga mkono waziri mkuu wa zamani Yair Lapid ambaye ni kiongozi wa wapinzani wa Netanyahu.
-
Ukosoaji wa Iran kwa kimya cha Baraza la Usalama mkabala wa jinai za utawala wa Kizayuni
Jan 21, 2023 08:12Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha baraza hilo kuhusu Palestina kuwa mwaka uliopita ulikuwa mwaka wa mauaji makubwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu; kwa sababu vitendo vya ukandamizaji, kupenda kujitanua na vya kibaguzi vya utawala wa Israell dhidi ya raia wa Palestina viliendelea na kushika kasi bila kusita.
-
Siku ya Ghaza; Iran yaitaka UN iwe mkweli katika kuwalinda na kuwaunga mkono Wapalestina
Jan 19, 2023 03:20Balozi na Mwakilishi wa Kudunu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Matiafa amelalamikia kimya cha Baraza la Usalama la umoja wa huo mbele ya jinai za utawala wa Kizayuni na kulitaka lifanye haraka kutoa azimio la kuwaunga mkono wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Msemaji wa Hamas: Utawala wa Kizayuni unafuatiliwa usiku na mchana
Jan 12, 2023 00:51Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa mapambano ya kulinda na kuutetea msikiti wa al Aqsa na mateka wa Kipalestina yatakuwa ya aina yake na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni unawajibika kubeba dhima ya matokeo ya hatua za kichochezi za Ben Gvir.
-
Mwanazuoni wa Bahrain: Ni haramu kuwauzia ardhi Mayahudi
Jan 07, 2023 03:40Imamu Sala ya Ijumaa katika mji wa Al-Diraz nchini Bahrain, amesema kuwauzia ardhi Wayahudi ni sawa na kuiuza nchi na ni haramu.
-
Wasiwasi wa kieneo na kimataifa kuhusu tabia ya ubaguzi wa rangi ya baraza jipya la mawaziri la Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 06, 2023 23:07Hatua ya hivi karibuni ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa utawala haramu wa Israel, ya kuingia kinyume cha sheria katika Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa imekabiliwa na radiamali kali ya kieneo na kimataifa, na ambayo imezipelekea nchi za China na Imarati kuomba kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kujadiliwa suala hilo.
-
Sisitizo la kulaaniwa kuvunjiwa heshima Msikiti wa Al-Aqsa
Jan 05, 2023 06:44Nchi za Kiarabu na Kiislamu zimesisitiza ulazima wa kulaaniwa kitendo cha Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala ghasibu wa Israel cha kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqsa.
-
HAMAS: Viongozi wa nchi za Kiislamu amkeni kukiokoa Kibla cha Kwanza
Jan 04, 2023 23:52Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatahadharisha viongozi wa nchi za Kiislamu kuhusuu njama za kila namna za serikali mpya ya kifashisti ya Israel na kuwataka waamke kukiokoa Kibla cha Kwanza cha Waislamu.