Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Mfalme wa Bahrain amuuzulu waziri wake kwa kukataa kumpa mkono balozi wa Israel

    Mfalme wa Bahrain amuuzulu waziri wake kwa kukataa kumpa mkono balozi wa Israel

    Jul 23, 2022 21:52

    Mfalme wa Bahrain amemuuzulu waziri mwanamke wa nchi hiyo kwa kukataa kumpa mkono balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa mjini Manama na kwa kupinga hatua ya kuanzisha ya uhusiano wa kawaida na utawala huo haramu.

  • Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake

    Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake

    Jul 17, 2022 06:28

    Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Saudi Arabia ya kuufungulia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mipaka ya anga yake ni sawa na kuwa mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala huo na ni usaliti kwa umma wa Kiislamu.

  • Fawzi Barhoum: Shambulio dhidi ya Gaza ni kilele cha uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Wazayuni

    Fawzi Barhoum: Shambulio dhidi ya Gaza ni kilele cha uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Wazayuni

    Jul 16, 2022 03:44

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amelitaja shambulio la ndege za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza kuwa ni kilele cha uungaji mkono wa Washington kwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala huo.

  • Hamas yapinga misimamo ya Saudia ya kujikurubisha zaidi kwa wazayuni maghasibu

    Hamas yapinga misimamo ya Saudia ya kujikurubisha zaidi kwa wazayuni maghasibu

    Jul 15, 2022 22:25

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali hatua ya Saudi Arabia ya kufungua anga ya nchi hiyo kwa ndege za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Amir Abdollahian: Iran itaendeleza juhudi zake katika njia ya kuondoa vikwazo kwa nguvu na mantiki

    Amir Abdollahian: Iran itaendeleza juhudi zake katika njia ya kuondoa vikwazo kwa nguvu na mantiki

    Jul 15, 2022 07:01

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeazimia ipasavyo katika njia ya maendeleo endelevu ya kiuchumi na kuondolewa vikwazo ilivyowekewa.

  • Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) katika siasa za kigeni za serikali ya Biden

    Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) katika siasa za kigeni za serikali ya Biden

    Jul 14, 2022 03:55

    Rais Joe Biden wa Marekani aliwasili Jumatano katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel ikiwa ni sehemu ya kwanza ya safari yake katika eneo la Asia Magharibi ambapo anatazamiwa pia kuitembelea Saudi Arabia hivi karibuni.

  • Hamas: Safari ya Biden Asia Magharibi ni dhihirisho la uungaji mkono kamili wa Washington kwa Tel Aviv

    Hamas: Safari ya Biden Asia Magharibi ni dhihirisho la uungaji mkono kamili wa Washington kwa Tel Aviv

    Jul 13, 2022 22:47

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja safari ya Rais Joe Biden wa Marekanii katika eneo la Mashariaki ya Kati kuwa ni kielelezo cha kivitendo cha uungaji mkono kamili wa Washington kwa Tel Aviv na imeonya kuhusu hatari ya safari hiyo kwa eneo hilo na mapambano ya Palestina.

  • Kusalimu amri utawala wa Kizayuni mbele ya upinzani wa wananchi wa Eritrea

    Kusalimu amri utawala wa Kizayuni mbele ya upinzani wa wananchi wa Eritrea

    Jul 11, 2022 03:45

    Waziri Mkuu wa muda wa utawala haramu wa Israeli, Yair Lapid, ametoa amri ya kufungwa kwa ubalozi wa utawala huo nchini Eritrea baada ya viongozi wa nchi hiyo ya Mashariki mwa Afrika kukataa kumpokea balozi mpya wa utawala huo haramu kwa miaka miwili sasa.

  • Mchambuzi Mzayuni: Uwezo wa kijeshi wa anga wa Hizbullah umekuwa mkubwa zaidi

    Mchambuzi Mzayuni: Uwezo wa kijeshi wa anga wa Hizbullah umekuwa mkubwa zaidi

    Jul 09, 2022 22:17

    Mchambuzi mmoja wa chaneli ya 14 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa harakati ya muqawama wa Kiislamu nchini Lebanon ya Hizbullah imekuwa na nguvu na uwezo mpya wa kijeshi katika uga wa angani.

  • Rais wa Lebanon: Karibu tutafikia mwafaka na Israel juu ya uainishaji mipaka ya baharini

    Rais wa Lebanon: Karibu tutafikia mwafaka na Israel juu ya uainishaji mipaka ya baharini

    Jul 07, 2022 06:54

    Rais Michel Aoun wa Lebanon ametangaza kuwa, karibuni hivi suala la uanishaji mipaka ya baharini baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel litapatiwa ufumbuzi na kwamba njia hiyo ya utatuzi wa mzozo huo itaridhiwa na pande zote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS