Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Israel yakumbwa na mgogoro mkubwa katika sekta ya afya

    Israel yakumbwa na mgogoro mkubwa katika sekta ya afya

    Apr 02, 2020 22:29

    Kuenea virusi vya Corona katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kushindwa utawala haramu wa Kizayuni katika kuzuia maambukizi ya maradhi hayo, kumepelekea kushtadi wasi wasi mkubwa baina ya viongozi wa utawala huo.

  • Waziri wa Afya wa Israel, mkewe wapatwa na virusi vya corona

    Waziri wa Afya wa Israel, mkewe wapatwa na virusi vya corona

    Apr 02, 2020 09:07

    Waziri wa Afya wa Israel Yaakov Litzman na mke wake wamepatwa na virusi vya corona na wamewekwa karantini.

  • Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni awekwa karantini

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni awekwa karantini

    Mar 31, 2020 02:01

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, Benjamin Netanyahu na wasaidizi wake kadhaa, wamewekwa karantini ya nyumbani.

  • Idadi ya waathirika wa Corona yaongezeka ndani ya Israel

    Idadi ya waathirika wa Corona yaongezeka ndani ya Israel

    Mar 25, 2020 07:46

    Idadi ya waathirika wa virusi vya Corona kati ya Wazayuni, imefikia 1930 baada ya kusajiliwa kesi mpya 488.

  • Corona yazidi kuutesa utawala wa Kizayuni, maeneo yote ya biashara kufungwa kwa wiki tano

    Corona yazidi kuutesa utawala wa Kizayuni, maeneo yote ya biashara kufungwa kwa wiki tano

    Mar 15, 2020 03:15

    Maambukizi ya kirusi cha corona ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni makubwa kiasi kwamba wakuu wa utawala huo pandikizi wamefikia uamuzi wa kufunga maeneo yote ya biashara kwa muda wa wiki tano.

  • Palestina yaionya Israel dhidi ya kutumia vibaya suala la virusi vya Corona

    Palestina yaionya Israel dhidi ya kutumia vibaya suala la virusi vya Corona

    Mar 11, 2020 08:28

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imewatahadharisha Wazayuni kutotumia vibaya suala la virusi vya Corona kuzishughulisha fikra za walimwengu ili wapate fursa ya kupora ardhi zilizosalia za Palestina.

  • Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona

    Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona

    Mar 09, 2020 04:30

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi 1040 wa utawala huo ghasibu wamewekwa chini ya karantini kutokana na virusi vya corona.

  • Viongozi wa Israel wapatwa na wahka kutokana na kuenea virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge

    Viongozi wa Israel wapatwa na wahka kutokana na kuenea virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge

    Mar 01, 2020 10:24

    Viongozi wa utawala pandikizi wa Israel wamepatwa na wahka mkubwa kutokana na kuenea kwa virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge ndani ya utawala huo.

  • Utawala wa Kizayuni watishia kuwaua kigaidi viongozi wa Palestina huko Ukanda wa Ghaza

    Utawala wa Kizayuni watishia kuwaua kigaidi viongozi wa Palestina huko Ukanda wa Ghaza

    Feb 25, 2020 10:02

    Viongozi wa utawala wa Kizayuni wametishia kuwaua kigaidi viongozi wa Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina za Hamas na Jihadul Islami huko Ukanda wa Ghaza.

  • Al Zahar: Jinai za Israel ni matunda ya kuanzishwa uhusiano baina yake na nchi za Kiarabu

    Al Zahar: Jinai za Israel ni matunda ya kuanzishwa uhusiano baina yake na nchi za Kiarabu

    Feb 24, 2020 21:51

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, jinai unazofanya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina ni matunda ya hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS