-
Bin Zayed aishauri Pentagon ikihamishie Imarati kituo cha kijeshi cha Incirlik kilichoko Uturuki
Sep 20, 2020 23:46Baadhi ya duru zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Abu Dhabi Mohammad bin Zayed amefanya mashauriano na Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon juu ya mpango wa kukihamishia Imarati kituo cha anga cha jeshi la Marekani cha Incirlik kilichoko nchini Uturuki.
-
Erdogan amkumbusha Macron jinai za Ufaransa barani Afrika, asema hajui hata historia ya nchi yake
Sep 13, 2020 09:07Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amemtahadharisha mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron kuhusu matatizo atakayokumbana nayo mkabala wake yeye na kumkumbusha jinai na uhalifu uliofanywa na Paris barani Afrika.
-
Jumamosi, 12 Septemba, 2020
Sep 11, 2020 20:11Leo ni Jumamosi tarehe 23 Mfunguo Nne Muharram 1442 Hijria mwafaka na tarehe 12 Septemba 2020 Miladia.
-
Marais wa Iran na Uturuki wasisitiza udharura wa kuimarisha ushirikiano wa pande mbili, kimataifa
Sep 08, 2020 22:04Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wametoa taarifa mwishoni mwa kikao cha sita cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa nchi hizo mbili wakisisitiza udharura wa kupanuliwa na kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili, kikanda na kimataifa katika fremu ya kudhamini maslahi ya pamoja ya Tehran na Ankara.
-
Lavrov: Russia ina wasiwasi na hatua za Marekani za kuibua mivutano Mediterania
Sep 08, 2020 08:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua za Marekani za kuzusha hali ya mivutano katika eneo la mashariki mwa Mediterania.
-
Tahadhari ya Josep Borrell kwa Uturuki na kushadidi mivutano baina ya EU na Ankara
Sep 07, 2020 22:04Kushadidi hitilafu baina ya Ugiriki na Uturuki juu ya suala la kutafuta mafuta na gesi katika Bahari ya Aegean ambako kumeziweka nchi hizo mbili katika ncha ya kutumbukia kwenye vita, kumefuatiwa na ukosoaji wa Umoja wa Ulaya ambao umetoa tahadahri kali kwa serikali ya Uturuki.
-
Utovu wa ubinadamu wa Uturuki wa kuwafungia maji Wasyria wa Al Hasakah katika msimu wa joto kali
Aug 24, 2020 06:54Uturuki na magaidi inaowaunga mkono wanaendeleza malengo yao ya kujipanua kijiopolitiki ndani ya ardhi ya Syria kwa kutumia mbinu isiyo na chembe ya ubinadamu ya kuwafungia maji raia wa nchi hiyo katika mkoa wa Al Hasakah.
-
Kushadidi tofauti baina ya Uturuki na UAE na hatari ya kuharibika zaidi uhusiano wa nchi mbili
Aug 23, 2020 03:33Uhusiano wa Uturuki na Umoja wa Falme za Kiarabu unaelekea kuharibika zaidi baada ya Mkuu wa Mashtaka wa serikali ya Ankara kuiomba Polisi ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai INTERPOL imtie nguvuni Mohammed Dahlan, mshauri wa Mohammed bin Zayed, mrithi wa ufalme wa Imarati.
-
Uturuki, Qatar na Libya kushirikiana kijeshi
Aug 18, 2020 10:13Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imesema imefikiana na Uturuki na Qatar juu ya kutia saini mkataba wa pande tatu wa ushirikiano wa kijeshi na kwamba miongoni mwa nukta muhimu za ushirikiano huo ni kujenga kituo cha kijeshi cha Uturuki katika Bandari ya Misrata nchini Libya.
-
Matukio ya Uturuki na mashariki mwa Mediterania
Aug 17, 2020 08:58Mawaziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki na Marekani wamekutana katika Jamhuri ya Dominican na kujadiliana kuhusu matukio ya eneo la mashariki mwa Bahari ya Mediterania na nchi ya Libya.