-
Kuimarishwa uhusiano wa Venezuela na Russia, jibu muafaka kwa uadui wa Marekani
Apr 03, 2021 02:34Russia na Venezuela zimechukua hatua nyingine ya kuimarisha uhusiano wao kwa kuanzisha kamisheni ya viongozi wa nchi mbili na vile vile kuanzisha kamisheni tano za pamoja za kiufundi.
-
Sisitizo la Venezuela la kutaka Umoja wa Ulaya uachane na fikra za kikoloni
Mar 26, 2021 02:55Siasa za uingiliaji mambo za Marekani za washirika wake wa Magharibi zingali zinaendelea katika akthari ya nchi za Amerika ya Latini.
-
Kuasisiwa muungano mpya wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na siasa na hatua za upande mmoja
Mar 13, 2021 11:26Hatua na misimamo ya upande mmoja na kupuuzwa taasisi za kimataifa khususan Umoja wa Mataifa katika kipindi cha utawala wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump vimepelekea kudhoofika umoja huo na hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la kusimama kidete Venezuela mbele ya vita vya kiuchumi vya Marekani na Ulaya
Feb 26, 2021 12:04Kutokana na kuendelea sera za vikwazo za Marekani na madola ya Ulaya, dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo amesisitiza kuwa, nchi yake itaendelea kusimama kidete mkabala wa sera hizo ambazo amesema kuwa ni “vita vya kiuchumi vya pande kadhaa”.
-
Caracas yajibu vikwazo vya Marekani na waitifaki wake dhidi ya Venezuela
Feb 23, 2021 13:10Viongozi wa Caracas wamelaani "vita vya kiuchumi vya pande kadhaa" za Umoja wa Ulaya na Marekani dhidi ya Venezuela.
-
Shambulio la kigaidi katika Shirika la Mafuta la Venezuela
Jan 24, 2021 08:13Rais wa Venezuela ametangaza kuwa, shambulio la kigaidi limejiri katika bomba la mafuta la shirika la mafuta na gesi la serikali la Petroleus de Venezuela na kulaani shambulio hilo ambalo limesababisha moto mkubwa.
-
Maduro; Venezuela imemshinda Trump
Jan 21, 2021 11:39Rais wa Venezuela amekutaja kuondoka huko White House Rais wa zamani wa Marekani kuwa ushindi kwa nchi yake.
-
Mwangwi wa kubwagwa Trump, wapinzani wa Venezuela wapata pigo jipya
Jan 08, 2021 07:04Baada ya Donald Trump kubwagwa katika uchaguzi wa rais wa Novemba 3, 2020 huko Marekani, sasa wafuasi, mashabiki na vibaraka wake wa nje, nao wameanza kuonja makali ya kuwa vibaraka wa Marekani.
-
Maduro katika ujumbe wake kwa mwaka mpya wa Miladia; tutaimarisha zaidi uhusiano na Iran
Jan 03, 2021 06:36Katika kuanza mwaka mpya wa 2021 Miladia Rais wa Venezuela akiashiria suala la kuilinda ardhi ya nchi hiyo amesisitiza kuwa ataimarisha uhusiano na Iran, Russia, China, Cuba, Uturuki na India.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 20, 2020 11:29Licha ya kufeli kwa sera za vikwazo za Marekani dhidi ya Venezuela, lakini viongozi wa Washington wangali wamekumbatia siasa hizo za mashinikizo na kuendelea kutekeleza siasa hizo zilizoshindwa na kugonga ukuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerka ya Latini.