-
Ngedere khabithi
May 27, 2016 13:16Katika wanyama wenye maudhu, tumbili au ngedere ni nambari moja. Ona tumbili huyu anavyoyachokoza makinda ya chui, baada ya kupata uhakika hayawezi kumfanya chochote...
-
Mtangazaji apigwa kibao akiwa LIVE hewani, kulikoni?
May 21, 2016 17:14Mtangazaji wa televisheni ya Russia Today bila ya kutarajia alishitukia anazabwa kibao na mmoja wa waandamanaji wakati alipokuwa LIVE hewani akitoa ripoti kuhusu maandamano mapya ya wafanyakazi jijini Paris, Ufaransa.
-
Ndege wachokozi
May 21, 2016 17:09Kila kiumbe hai kimetengewa na wakati wake wa starehe, lakini starehe ya ndege hawa ni kuwachokoza wanyama wenzao... Angalia mwenyewe...
-
Dereva aokoka kimaajabu gari ikiwaka moto
May 21, 2016 17:07Angalia namna dereva wa gari alivyookoka kimaajabu mjini Alaska Marekani, wakati alipopata ajali na gari yake kushika moto...
-
Uzembe katika kukata mti wamponza
May 21, 2016 17:02Akili isiyo na maarifa huponza. Angalia uzembe aliofanya wakati anakata mti matokoe yake...
-
Wakati chui aina ya "jaguar" anapoamua kuwinda mfalme wa mtoni, mamba...
May 17, 2016 09:59Ingawa mamba anaonekana kuwa myama hatari zaidi anapokuwa mtoni, na ingawa kesi nyingi zilizoripotiwa, huwa zinahadithia mashambulizi yanayofanywa na mambo kwa watumiaji wa mto, lakini si kila siku mambo ni mshambuliaji kama inavyoonesha video hii fupi
-
Wanyama werevu
May 17, 2016 09:55Kila kiumbe cha Mwenyezi Mungu, kimeumbwa kwa hekima na umakini wa hali ya juu na kila leo kunagunduliwa maajabu mapya kutoka kwa viumbe hao kama inavyoonesha video hii kuhusu mambo ya ajabu yanayoweza kufanywa na wanyama na kuzidi kumfanya mwanadamu akiri uwezo usio na kifani wa Mwenyezi Mungu