-
Mashambulio ya kinyama ya Israel yaua Wapalestina wengine 60 Ghaza, 12 wanatoka familia moja
Apr 25, 2025 07:41Zaidi ya watu 60 wameuawa shahidi katika mashambulio ya kinyama ya karibuni zaidi kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza huku idadi ya vifo ikiendelea kuongezeka.
-
Kumalizika Mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NAM
Apr 07, 2018 12:56Mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) umemaliza kazi zake mjini Baku huko Azerbaijan kwa taarifa inayolaani jinai za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina.
-
HAMAS: Tumejizatiti kwa makombora kukabiliana na chokochoko za Israel
Nov 15, 2016 15:02Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, ameelezea uwezo wa makombora iliyonayo harakati hiyo kwa ajili ya kutoa jibu kwa hujuma tarajiwa ya utawala haramu wa Israel.