-
Kukiri Biden kushindwa Marekani kukabiliana na al Qaida; kufeli vita vya kimataifa dhidi ya ugaidi
Sep 13, 2021 12:07Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumamosi na pembeni mwa sherehe za mwaka wa 20 wa tangu kutokea mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani, alikiri kwamba yumkini kundi la kigaidi la al Qaida likarejea tena Afghanistan na kusisitiza kuwa, Washington haiwezi kupeleka wanajeshi kila sehemu ilipo al Qaida.
-
Guterres ataka kusitishwa uhasama na mapigano nchini Ethiopia
Aug 27, 2021 10:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano na vitendo ya uhasama nchini Ethiopia.
-
Ripoti mpya kuhusu matokeo ya vita vya miaka 20 vya Marekani huko Afghanistan
Aug 20, 2021 00:04Taasisi ya Watson Institute for International and Public Affairs katika Chuo Kikuu cha Brown imetangaza katika ripoti yake mpya kwamba, Marekani imetumia dola trilioni 2.26 katika vita vyake vya miaka 20 huko Afghanistan ambavyo vilianza msimu wa mapukutiko wa mwaka 2001.
-
Mapigano baina ya jeshi la serikali na waasi wa Tigray yapamba moto Ethiopia
Aug 14, 2021 00:00Mapigano makali yameripotiwa baina ya vikosi vya jeshi la serikali ya Ethiopia na wapiganaji wa kundi la waasi wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) katika maeneo ya mpaka wa jimbo hilo na Amhara kaskazini mwa Ethiopia.
-
Tsunami ya kujiua katika jeshi la Marekani, nembo ya mgogoro wa kinafsi na kimaadili
Jun 26, 2021 15:01Ripoti ya karibuni ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inaonesha ongezeko la visa vya kujiua kati ya wanajeshi wa nchi hiyo hususan maveterani wa jeshi.
-
Russia yaanza mazoezi ya kijeshi eneo ambako Marekani pia inapanga mazoezi ya kivita
Jun 11, 2021 12:23Jeshi la Majini la Russia limeanza mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo la kati mwa Bahari ya Pasifiki punde baada ya Marekani kusema itafanya mazoezi makubwa zaidi ya kivita katika eneo hilo hilo katika msimu wa joto mwaka huu.
-
Ripoti: Watu 350,000 wamekumbwa na baa la njaa huko Tigray nchini Ethiopia
Jun 11, 2021 02:13Kamati ya ngazi ya juu inayoongozwa na UN ambayo inajihusisha na kutafuta majibu ya haraka kwa mizozo ya kibinadamu inakadiria kwamba, karibu watu 350,000 katika mkoa wa Tigray uliokumbwa na vita huko Ethiopia wanasumbuliwa na baa la njaa.
-
Baraza la Haki za Binadamu la UN leo linajadili mpango wa kuundwa tume ya kuchunguza jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 27, 2021 02:19Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepokea muswada unaotaka kuundwa tume ya kimataifa itakayochunguza jinai na uhalifu uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Baraza la utawala wa kijeshi Chad latangaza ushindi dhidi ya waasi wa FACT
May 10, 2021 12:36Jeshi la Chad limejitangazia ushindi dhidi ya waasi kufuatia mapigano ya wiki kadhaa yaliyosababisha kifo cha Rais wa muda mrefu wa nchi hiyo, Idriss Deby kwenye uwanja wa vita.
-
Viongozi wa Somalia washindwa kukubaliana juu ya ajenda ya mkutano muhimu wa uchaguzi
Apr 05, 2021 12:54Viongozi wa Somalia wameshindwa kufikia makubaliano juu ya ajenda kuu ya mkutano muhimu wa uchaguzi, suala ambalo limedhihirisha tena ufa uliopo kati ya makundi ya kisiasa ya Somalia.