-
Sisitizo la Marekani la kumuunga mkono zaidi Juan Guaido; mwendelezo wa siasa zilizofeli za Washington
Jan 22, 2020 07:22Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, nchi yenye utajiri wa mafuta ya Venezuela imekuwa ikikabiliwa na mgogoro wa ndani wa kisiasa. Juan Guaido, kinara wa upinzani nchini Venezuela, Januari 23 mwaka jana alijitangaza kuwa Rais wa nchi hiyo.
-
Bwabwaja mpya za Trump kuhusiana na mauaji ya Luteni Jenerali Qassim Soleimani
Jan 15, 2020 02:48Januari 3 mwezi huu, Marekani ilichukua hatua ya kijinai na isiyo ya kisheria ya kumuua Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi ya Iraq pamoja na watu waliokuwa wamefuatana nao.
-
Juhudi za Mike Pompeo za kuhalalisha jinai za shirika la ujasusi la Marekani CIA
Dec 29, 2019 12:30Baada ya shambulio la Septemba 11 2001, Marekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi, iliivamia kijeshi Afghanistan na baada ya hapo dhirika la ujasusi la nchi hiyo CIA likatia mbaroni idadi kubwa ya raia wa nchi hiyo na wa maeneo mengine ya dunia kwa tuhuma za ugaidi.
-
Hatua mpya ya serikali ya Trump ya kuunga mkono hatua haramu za utawala wa Kizayuni
Nov 20, 2019 07:05Moja ya misingi ya wazi kabisa ya sera za kigeni za Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump ni kuuunga mkono bila masharti utawala haramu wa Israel na kutekeleza kivitendo hatua ambazo marais waliotangulia wa nchi hiyo walijizuia kuzitekeleza.
-
Sisitizo la Lavrov juu ya mchango wa Marekani katika kudhihiri al Baghdadi na Daesh
Nov 03, 2019 02:32Baada ya kuanza mgogoro wa Syria hapo mwaka 2011 na vita vilivyosababishwa na mgogoro huo, Marekani ilikuwa na nafasi muhimu na kuu katika kuundwa na kujitokeza makundi ya kigaidi nchini humo hususan kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh; suala ambalo Washington imefanya jitihada kubwa za klificha kwa kuanzisha kile ilichodai ni muungano wa kupambana na Daesh.
-
Marekani na utumiaji wa viza kama wenzo wa mashinikizo dhidi ya washiriki katika vikao vya UN
Sep 19, 2019 11:27Marekani ambayo ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York daima imekuwa ikitumia suala la kutoa viza kwa jumbe na maafisa wa nchi mbalimbali wanaotaka kushiriki vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kutoa mashinikizo dhidi ya nchi zinazopinga sera za kibeberu za nchi hiyo.
-
Safari ya Pompeo nchini Saudia na Imarati; njama za Marekani za kuzusha mizozo Mashariki ya Kati
Sep 19, 2019 07:16Mashambulio ya ndege zisizo na rubani dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia ambayo yamepelekea kupungua kwa asilimia 50 uzalishaji mafuta wa nchi hiyo ya Kiarabu, yameiibua Marekani na kuifanya itoe radiamali kuhusiana na jambo hilo.
-
Sisitizo la Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia na Ujerumani juu ya kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Aug 23, 2019 07:20Baada ya Marekani kujiondoa kinyamela katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) Mei mwaka jana, kinyume na matarajio ya Washington ambayo ilitaka nchi zingine wanachama wa kundi la 5+1 nazo zichukue uamuzi kama wake, mataifa hayo ikiwemo Russia na Ujerumani yalisisitiza juu ya kuendelea kubakishwa makubaliano hayo ya kimataifa yaliyokuwa yamepata baraka kamili za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Vikwazo dhidi ya Zarif; maigizo ya kukata tamaa Marekani mbele ya nguvu ya diplomasia ya Iran
Aug 01, 2019 11:41Tangu serikali ya Rais Donald Trump ilipoingia madarakani nchini Marekani, ikiwa na lengo la kutekeleza 'siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi' ilitanguliza mbele siasa za kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vya upande mmoja na vyenye wigo mpana.
-
Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa
Jul 30, 2019 10:54Uwepo wa kijeshi wa nchi za kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi na taathira zake mbaya ambazo zimepelekea kuongezeka mivutano ya kisiasa na kijeshi katika eneo, umeipelekea Russia kuwasilisha mpango wa usalama wa eneo hili la kistratijia kwa Umoja wa Mataifa.