-
Rais wa Zanzibar atangaza Baraza la Mawaziri, atenga wizara 2 kwa ajili ya ACT
Nov 19, 2020 15:21Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi, ametangaza baraza jipya la mawaziri katika serikali yake huku akiacha kutangaza majina ya mawaziri katika wizara mbili kwa ajili ya chama cha ACT-Wazalendo.
-
Hussein Mwinyi aapishwa kuwa rais wa Zanzibar, viongozi wa upinzani Tanzania Bara wakamatwa na kuwekwa kizuizini
Nov 02, 2020 15:07Dr. Hussein Ali Mwinyi ameapishwa kuwa Rais wa nane wa Zanzibar katika hafla kubwa iliyofanyika visiwani Zanzibar leo.
-
Hussein Mwinyi atangazwa mshindi urais wa visiwa vya Zanzibar, Magufuli aongoza katika uchaguzi wa rais wa Tanzania
Oct 29, 2020 22:55Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr. Hussein Mwinyi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais Mteule wa Zanzibar baada ya kupata ushindi wa kura 380,402 sawa na 76.27%. akifuatiwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa chama cha ACT Wazalendo aliyepata kura 96,103 sawa na asilimia 19.87.
-
Watanzania washiriki kwa wingi katika upigaji kura leo
Oct 28, 2020 12:27Mamilioni ya Watanzania, leo Jumatano, Oktoba 28, 2020 wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, wabunge wa Bunge la Muungano, madiwani na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar.
-
Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti
Oct 02, 2020 18:41Wiki hii pia kama ilivyo kwa wiki zote, ukanda wa Afrika Mashariki na Kati umeendelea kuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit anatudondolea baadhi yake katika ripoti yake hii...
-
ACT Wazalendo yazindua rasmi kampeni zake Zanzibar kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 + SAUTI
Sep 15, 2020 18:40Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema akichaguliwa kuwa rais wa visiwa hivyo ataandika katiba mpya itakayohakikisha wananchi wote wanapata haki zao za kimsingi bila kujali itikadi zao za kisiasa.
-
Zoezi la kupiga kura uchaguzi mkuu Zanzibar kufanyika siku mbili
Aug 02, 2020 09:24Wananchi wa visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania wanatarajiwa kupiga kura kwa siku mbili katika uchaguzi mkuu utakafanyika Oktoba mwaka huu.
-
Maalim Seif atangaza kugombea tena urais Zanzibar kwa mara ya 6 huku akisisitiza mshindi halisi ndiye atakayekuwa rais
Jun 28, 2020 16:15Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa nchini Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad, ametangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
-
Zanzibar kupunguza marufuku za kukabiliana na COVID-19
May 24, 2020 17:08Serikali ya Zanzibar SMZ imesema imekusudia kupunguza masharti iliyokuwa imeyaweka hapo kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi.
-
SAUTI, Waislamu wahimizwa kutozembea kuzipata fadhila za 'Usiku wa Heshima' katika kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhani
May 18, 2020 15:35Waislamu wamehimizwa kuendeleza ibada mbalimbali ndani ya kumi la mwisho la mwezi huu wa Ramadhani ili kuweza kupata fadhila za Usiku wa Heshima (Lailatul-Qadr).