Zanzibar kupunguza marufuku za kukabiliana na COVID-19
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i61187-zanzibar_kupunguza_marufuku_za_kukabiliana_na_covid_19
Serikali ya Zanzibar SMZ imesema imekusudia kupunguza masharti iliyokuwa imeyaweka hapo kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
May 24, 2020 12:38 UTC