-
AG, DPP wa Zimbabwe kizimbani kwa kutupa kesi ya hujuma dhidi ya kampuni ya Mugabe
Feb 03, 2016 04:34Mwanasheria Mkuu na Mkuu wa Mashtaka ya Umma wa Zimbabwe wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutupilia mbali kesi dhidi ya watuhumiwa wanaodaiwa kula njama ya kuishambulia kwa bomu kampuni ya maziwa inayomilikiwa na familia ya Rais wa nchi hiyo Robert Mugabe.
-
Iran na Zimbabwe kushirikiana katika sekta ya afya
Feb 02, 2016 04:03Mawaziri wa afya wa Iran na Zimbabwe wamesisitiza kuhusu kutekelezwa mapatano yaliyotiwa saini.