-
Trump na Meya mteule wa New York, Mamdani kukutana White House Ijumaa
Nov 20, 2025 06:08Rais wa Marekani Donald Trump amesema, atakutana na Meya mteule wa Jiji la New York Zohran Mamdani katika Ikulu ya White House siku ya Ijumaa.
-
Sababu za Trump kuyaweka kwenye orodha ya "ugaidi wa kimataifa" makundi manne ya mrengo wa kushoto ya Ulaya
Nov 15, 2025 12:45Washington imeyaweka kwenye orodha ya "ugaidi wa kimataifa" makundi manne ya mrengo wa kushoto yenye misimimamo mikali ya barani Ulaya.
-
Kwa nini kutoshiriki Marekani katika kikao cha G20 nchini Afrika Kusini ni hasara kubwa kwa Washington?
Nov 14, 2025 08:09Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa kutohudhuria Wamarekani katika kikao cha G20 ni hasara kubwa kwao.
-
Ni nini takwa la Tehran baada ya Trump kukiri kuhusika Marekani katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran?
Nov 08, 2025 11:41Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa alikuwa na mchango katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran.
-
Reuters: Serikali ya Trump inafikiria kuizuia Saudia ndege za kisasa za kivita za F-35
Nov 06, 2025 03:19Shirika la habari la Reuters limenukuu chanzo cha kuaminika ambacho hakikutaka kitajwe na kutangaza kwamba serikali ya Trump inapitia ombi la Saudi Arabia la kununua ndege 48 za kivita za kisasa za F-35, mpango wa mabilioni ya dola ambao umeondoa moja ya vikwazo vikubwa katika Wizara ya Vita ya Marekani na ambao unajadiliwa sanjari na ziara ijayo ya Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman huko nchini Marekani.
-
Trump asema siku za Rais Maduro wa Venezuela kuweko madarakani zinakaribia ukingoni
Nov 04, 2025 02:24Katika kile kinachotafsiriwa kama harakati ya kibeberu na ya kuingilia masuala ya ndani ya mataifa mengine, Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kuwa siku za Rais Nicolas Maduro wa Venezuela kuweko madarakani zinakaribia ukingoni, huku mvutano kati ya nchi hizo mbili ukiwa unaongezeka sambamba na Washington kushamirisha kuwepo kwake kijeshi katika eneo la Carribean.
-
Trump atishia kuishambulia kijeshi Nigeria kwa tuhuma za alichokiita 'kuuliwa raia Wakristo wapendwa'
Nov 02, 2025 06:26Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kufanya mashambulizi ya kijeshi ndani ya ardhi ya Nigeria kutoa mjibizo kwa alichodai kuwa ni ukatili wanaofanyiwa Wakristo, akisema ameiagiza Wizara yake ya Vita aliyoipa jina hilo jipya hivi karibuni "kujiandaa kwa hatua zinazowezekana" kuchukuliwa.
-
Madai yasiyo na msingi ya Trump ya eti ushindi wa Marekani katika vita vyote; ni kujisahaulisha matukio ya Afghanistan na Iraq?
Oct 31, 2025 03:13Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kwamba nchi hiyo itashinda kama itaingia vitani na nchi yoyote.
-
Agizo la Trump la kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia; Dunia inarudi kwenye mashindano ya silaha za nyuklia?
Oct 30, 2025 11:52Rais Donald Trump wa Marekani ameamuru kuanzishwa tena majaribio ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.
-
Trump anataraji kuambulia nini katika safari yake ya Asia?
Oct 27, 2025 07:56Rais wa Marekani Donald Trump amewasili kwenye eneo la kusini-mashariki mwa Asia kwa ziara ya siku tano.