-
14 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Namibia
Aug 31, 2025 03:54Wafanyakazi 11 wa Idara ya Huduma ya Marekebisho ya Namibia, afisa wa polisi na raia wawili wamepoteza maisha jana Jumamosi katika ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la kusini-kati nchini humo.
-
Raia 5 wa familia moja wauawa katika shambulio la droni la RSF huko Kordofan ya Kaskazini
Aug 31, 2025 03:53Jeshi la Sudan limetangaza kuwa raia watano kutoka kwa familia moja, wakiwemo binti wawili, wameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani lililotekelezwa na Kikosi cha Wanamgambo waMsaada wa Haraka (RSF) katika Jimbo la Kordofan Kaskazini, kusini mwa Sudan.
-
Zaidi ya wahamiaji 70 wapoteza maisha baada ya boti ya kuzama karibu na Mauritania
Aug 31, 2025 01:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Gambia imethibitisha kuwa angalau watu 70 wamefariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji kuzama katika pwani ya Afrika Magharibi, karibu na Mauritania.
-
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini wajenga kituo kipya cha muda kwa ajili ya kulinda raia
Aug 31, 2025 01:04Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS) umetangaza kuwa unajenga kituo kipya cha muda katika eneo la Tambura, magharibi mwa Sudan Kusini, kwa lengo la kuimarisha ulinzi kwa raia.
-
Guinea inajiandaa kwa kampeni ya kura ya maoni ili kuhitimisha utawala wa kijeshi
Aug 30, 2025 09:03Guinea Conakry kesho Jumapili itaanza kampeni ya kura ya maoni ya katiba kwa ajili ya kurejesha utawala wa kiraia baada ya jeshi kuchukua madaraka mwaka 2021.
-
Katibu Mkuu wa UN alaani mashambulizi yasiyokoma ya RSF dhidi ya mji wa El Fasher, Sudan
Aug 30, 2025 02:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na Vikosi vya Usaidizi wa Haraka, RSF dhidi ya mji wa El Fasher, kaskazini mwa jimbo la Darfur nchini Sudan huko akitoa indhari juu ya maafa makubwa ya kibinadamu na ukiukaji wa sheria za kimataifa unaofanywa katika mji huo.
-
Mapigano ya ndani Sudan Kusini yaibua hofu kuhusu makubaliano tete ya amani
Aug 29, 2025 23:15Mapigano ya siku mbili kati ya vikosi vya jeshi la serikali na wapiganaji waasi nchini Sudan Kusini yamezua hofu kuhusu makubaliano tete ya amani ya nchi hiyo.
-
Wabunge chipukizi waapa kukomboa Kenya, watadhamini mgombea urais 2027
Aug 29, 2025 23:13Kundi la Kenya Moja, linaoshirikisha wabunge chipukizi, limeahidi kudhamini mgombeaji urais katika uchaguzi mkuu ujao na kuahidi kufanya “ukombozi wa tatu nchini humo”.
-
Viuatilifu vilivyopigwa marufuku Ulaya vyaangamiza nyuki Afrika
Aug 29, 2025 07:28Tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa mazao ya thamani kama kahawa, alizeti na mengine yako hatarini kufifia kutokana na kupungua kwa idadi ya nyuki, waliokumbwa na athari za viuatilifu katika maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki.
-
Mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini kuendelea hata kama Trump hatohudhuria
Aug 29, 2025 07:23Afrika Kusini imesisitiza msimamo wake kwamba mkutano ujao wa nchi zilizostawi kiuchumi za G20, utakaofanyika Johannesburg mwezi Novemba, utaendelea kama ulivyopangwa; awepo au asiwepo Rais Donald Trump wa Marekani.