-
Sudan Kusini yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu wa kwanza
Jun 24, 2026 03:36Sudan Kusini imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza tarehe 22 Desemba mwaka huu, baada ya miaka mingi ya kuahirishwa mara kwa mara tangu nchi hiyo ilipojitangazia uhuru, zaidi ya muongo mmoja uliopita.
-
Ugonjwa wa Ebola DRC: Visa 1003, vifo 254 vyasajiliwa
Jun 23, 2026 02:57Maambukizi 1,003 ya Ebola yamerekodiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo mlipuko wa hivi karibuni umesababisha pia vifo vya watu wasiopungua 254.
-
Zaidi ya wakimbizi milioni moja wa Sudan wanaishi nchini Misri kwa hofu na wasiwasi
Jun 23, 2026 02:43Zaidi ya wakimbizi milioni 1.3 wa Sudan wanaishi Cairo, mji mkuu wa Misri kwa hofu na wasiwasi mkubwa, na licha ya mabilioni ya dola ya misaada yanayotumwa kwa nchi hiyo, wengi wao wanaendelea kufanya jitihada za kuondoka Misri kutokana na hofu ya kukamatwa na kufungwa.
-
Kenya: Muswada wa fedha 2026 kutiwa saini kuwa sheria
Jun 22, 2026 10:31Muswada wa fedha 2026 nchini Kenya unatarajiwa kutiwa saini na kuwa sheria.
-
CENCO yapinga kufanyika kwa mageuzi ya katiba DRC
Jun 22, 2026 04:29Muungano maaskofu wa kanisa Katoliki (CENCO) umepinga mapendekezo ya kuifanyia marekebisho katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
UN: Yamkini waasi wa RSF wanatekeleza mauaji ya halaiki mjini El Obeid, Sudan
Jun 21, 2026 11:18Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu taarifa za kuongezeka kwa wapiganaji wa kundi la waasi la RSF, ambao wameuzingira mji wa El Obeid nchini Sudan.
-
Baada ya karne nyingi za utumwa, Afrika yafungua faili la fidia na kudai haki ya kihistoria
Jun 21, 2026 04:38Karne nyingi baada ya kumalizika biashara ya utumwa ya kuvuka Atlantiki, moja ya masuala nyeti zaidi ya kihistoria yameibuka tena katika mji mkuu wa Ghana, Accra, ambapo Mkutano wa Dunia kuhusu Fidia ya Utumwa na Haki ya Kihistoria ulihitimishwa jana, huku Afrika ikitaka kuwepo mfumo wa vitendo wa kufidia jamii ambazo bado zinateseka kutokana na athari mbaya za enzi hizo.
-
Mkuu wa CDC asema Afrika lazima iwekeze fedha zake katika kukabiliana na Ebola
Jun 21, 2026 02:55Mkuu wa Vituo vya Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC) amesema bara hilo linahitaji kuwekeza fedha zake lenyewe katika kukabiliana na Ebola.
-
UN: Kutoadhibiwa wahalifu kunaeneza hisia za mauaji ya kimbari nchini Nigeria
Jun 21, 2026 02:52Ripoti ya Umoja wa Mtaifa inasema, kutoadhibiwa watu wanaofanya mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya viongozi wa kidini na sehemu za ibada, pamoja na kinga dhaifu na uwajibikaji duni, vinawafanya waathiriwa nchini Nigeria kuona kwamba vurugu zinazofanyika nchini humo ni mateso au hata mauaji ya halaiki.
-
Wanasayansi: Aina ya sasa ya Ebola imeitoka kwa wanyamapori
Jun 19, 2026 03:46Ugonjwa wa sasa wa Ebola, ambao ulizuka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda mwezi uliopita, ni matokeo ya kuenea kwa wanyamapori. Haya yameelezwa na wanasayansi kutoka nchi hizo mbili jana Alhamisi.