-
Jeshi la Nigeria: Tumeua takriban magaidi 140 katika kipindi cha wiki moja
Oct 25, 2024 06:42Jeshi la Nigeria limetoa taarifa mpya na kutangaza kuwa, katika kipindi cha wiki moja iliyopita limefanikiwa kuua magaidi 140 katika operesheni maalumu zilizofanyika kwenye kona zote za nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Vikosi vya usalama Tunisia vyawatia mbaroni wafanya magendo 205 wa mihadarati
Oct 25, 2024 06:42Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza katika taarifa yake ya jana kwamba, vikosi vya usalama vya nchi hiyo vimefanikiwa kusambaratisha mtandao mkubwa wa magendo ya dawa za kulevya na kuwakamata watu 205 wanaohusika na magendo hayo.
-
Takriban watoto 480,000 wanakabiliwa na utapiamlo nchini Kenya
Oct 25, 2024 04:15Mamlaka ya Taifa ya Kudhibiti Ukame nchini Kenya (NDMA) imesema kuwa takriban watoto 479,498 wenye umri wa miaka mitano katika maeneo 23 ya ukame nchini humo wanakabiliwa na utapiamlo na wanahitaji matibabu.
-
Rais Tshisekedi: Katiba ni 'dhaifu' inahitaji kufanyiwa marekebisho
Oct 24, 2024 23:08Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, idadi ya mihula ya urais haitabadilishwa, lakini wapinzani wake wanasema ana nia ya kuwania muhula wa tatu.
-
Ramaphosa: Daima tutaendelea kuwa pamoja na taifa la Palestina
Oct 24, 2024 08:22"Afrika Kusini na Palestina daima zitakuwa pamoja," hiyo ni ahadi iliyotolewa na Rais Cyril Ramaphosa wakati alipoonana na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Palestina Mahmoud Abbas walipokutana ana kwa ana pembeni mwa mkutano wa kilele wa BRICS katika mji wa Kazan nchini Russia.
-
BRICS: Viongozi wa Afrika wataka mapinduzi katika taasisi za kimataifa
Oct 24, 2024 08:22Katika hotuba zao za jana Jumatano, viongozi wa Afrika wanaohudhuria mkutano wa kilele wa mataifa ya BRICS nchini Russia walijikita katika kutoa mwito kwa taasisi za kimataifa kulitendea haki bara la Afrika.
-
Idadi ya vifo kutokana na mripuko wa lori la petroli nchini Nigeria imefikia watu 181
Oct 24, 2024 08:12Idadi ya vifo vilivyotokana na mripuko wa lori la petroli wiki iliyopita katika jimbo la Jigawa la kaskazini mwa Nigeria imeongezeka na kufikia watu 181.
-
Sudan: Madai ya Wamagharibi dhidi yetu hayana msingi
Oct 24, 2024 02:47Sudan imezishutumu nchi za Magharibi kwa kuingiza siasa katika suala la misaada ya kibinadamu na kulilaumu jeshi la Sudan na serikali ya nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika kwa 'kuzuia misaada.'
-
UPSR: Afrika inajua kuwa BRICS imebadilisha mlingano wa jiopolitiki duniani
Oct 23, 2024 22:49Kiongozi mwandamizi wa chama kimoja cha upinzani nchini Cameroon amesema jumuiya ya BRICS ni mbadala halisi wa kuleta mlingano kwenye jiopolitiki duniani na kusisitiza kwamba, nchi za Afrika zinaelewa fika suala hili.
-
Raia 46 wauawa katika mapigano mapya nchini Sudan
Oct 23, 2024 06:38Takriban raia 46 wameuawa huku wengine 44 wajeruhiwa katika siku mbili za mapigano kati ya jeshi la Sudan na Kikosi cha Radimali ya Haraka (RSF) katika majimbo ya Khartoum na Al-Jazira.