-
Vyombo vya habari Kenya: Siasa za usaliti na ‘njama za mauaji’ zimerejea kwa kishindo
Oct 23, 2024 04:31Baadhi ya vyombo vya habari vya Kenya vimeripoi kuwa, siasa za madai ya usaliti na njama za watu kuuawa zimeanza kujitokeza tena nchini humo baada ya naibu rais aliyetimuliwa mamlakani kudai alijaribiwa kulishwa sumu mara mbili.
-
Jeshi la Congo DR limekomboa mji wa Kalembe, Kivu Kaskazini
Oct 23, 2024 04:27Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limetangaza kuwa limefanikiwa kukomboa mji wa Kalembe ulioko katika mkoa wa Kivu Kaskazini kutoka kwa waasi wa M23.
-
Mamilioni ya Waafrika kuwa masikini kwa sababu ya mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi
Oct 22, 2024 22:55Wataalamu wa mabadiliko ya tabia nchi wametahadharisha kuwa mgogoro wa hali ya hewa Afrika utawaelekeza katika umaskini watu wengine zaidi milioni 150 ifikapo mwaka 2050.
-
Rais William Ruto ameiomba Mahakama ya Milimani kutupilia mbali kesi za Gachagua
Oct 22, 2024 11:55Rais William Ruto wa Kenya ameiomba Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi kadhaa za kupinga kuondolewa madarakani Rigathi Gachagua kama Naibu Rais, akisema kuwa masuala yaliyoibuliwa katika kesi hizo yametengewa Mahakama ya Juu pekee.
-
Waangalizi wa EU wanasema matokeo ya uchaguzi wa Msumbiji yalibadilishwa bila sababu
Oct 22, 2024 11:47Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya wamebaini "kubadilishwa bila sababu" kwa baadhi ya matokeo katika uchaguzi mkuu wa Msumbiji, huku kukiwa na shutuma za mgombea mkuu wa upinzani kwamba serikali ilimuua wakili wake.
-
Guterres: Hatua madhubuti zichukuliwe kushughulikia migogoro na umaskini Afrika
Oct 22, 2024 11:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa hatua madhubuti zinapasa kuchukuliwa ili kushughulikia mabadiliko ya tabianchi, migogoro na umaskini barani Afrika.
-
Shirika la MSF limesimamisha kwa muda shughuli zake katika baadhi ya maeneo ya Burkina Faso
Oct 22, 2024 11:45Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limesimamisha kwa muda shughuli zake katika jimbo la Djibo kaskazini mwa Burkina Faso kutokana na masuala ya usalama.
-
Rais Paul Biya arejea Cameroon, baada ya kutoweka kwa takribani wiki 6 na kusababisha wasiwasi wa kiafya
Oct 22, 2024 04:11Baada ya kukosekana kwa muda wa wiki 6 na kusababisha wasiwasi juu ya afya yake na mahali alipo, Rais Paul Biya wa Cameroon hatrimaye amerejea nchini.
-
Magaidi 95 wa kundi la al-Shabaab wauawa Somalia
Oct 22, 2024 03:36Wizara ya Ulinzi ya Somalia imesema kwamba, jeshi la nchi hiyo likisaidiwa na washirika wa ndani na wa kimataifa, limefanya operesheni za kijeshi dhidi ya kundi la wanamgambo wa al-Shabaab, na kuua wanachama zaidi ya 95 wa genge hilo la kigaidi.
-
Waasi wa M23 wadhibiti mji muhimu wa Kalembe DRC
Oct 21, 2024 22:53Wapiganaji wa kundi la waasi la M23 wameuteka mji muhimu wa Kalembe wilayani Masisi na kusonga mbele hadi wilaya jirani ya Walikale mkoani kivu kaskazini katika Jamhuri ya Kiidemokrasia ya Congo.