-
Ghasia zaendelea kuikumba Msumbiji, miito ya utulivu yatolewa
Oct 21, 2024 22:52Ghasia zilizoibuka baada ya uchaguzi nchini Msumbiji jana Jumatatu ziliendelea kuikumba nchi hiyo huku miito ya utulivu ikitolewa.
-
Ramaphosa aitolea wito BRICS kuwekeza pakubwa barani Afrika
Oct 21, 2024 08:35Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amelitolea wito kundi la BRICS kuwekeza katika maendeleo ya bara la Afrika kwa kuzingatia uwezo wa bara hilo.
-
Mkuu wa Umoja wa Afrika alaani ghasia za baada ya uchaguzi nchini Msumbiji
Oct 21, 2024 08:17Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat leo Jumatatu amelaani mauaji ya viongozi wawili wa upinzani nchini Msumbiji na kutaka uchunguzi ufanyike ili wahusika wafikishwe mbele ya sheria.
-
Watumiaji wa mitandao nchini Misri wafurahishwa na Araqchi kuagiza chakula mkahawani huko Cairo
Oct 21, 2024 08:00Wananchi wa Misri mitandaoni wamefurahishwa na kitendo cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran cha kuagiza chakula katika mkahawa mmoja katika mji mkuu wa nchi hiyo Cairo pambizoni mwa ziara yake ya karibuni nchini humo.
-
Iran na Tanzania zatia saini maelewano ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara na viwanda
Oct 21, 2024 04:29Hati ya Maelewano (MoU) katika nyanja za viwanda na biashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Muungano wa Tanzania imetiwa saini mwishoni mwa kikao cha tano cha Kamisheni ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Iran na Tanzania.
-
Leseni ya al-Arabiya kufanya kazi nchini Algeria yafutiliwa mbali
Oct 21, 2024 03:58Viongozi wa Algeria wameamua kufutilia mbali leseni ya mtandao na televisheni ya al-Arabiya ya Saudi Arabia nchini humo kwa kupotosha habari na kutoheshimu sheria na maadili ya taaluma ya uandishi na upashaji habari.
-
Israel inajaribu kuanzisha kituo cha kijeshi Somaliland
Oct 21, 2024 03:51Tovuti ya habari ya Qatar, Middle East Monitor imeripoti kuwa Israel inajaribu kuanzisha kituo cha kijeshi huko Somaliland kwa lengo la kudhibiti njia ya usafiri katika Bahari Nyekundu.
-
Naibu Rais wa Kenya aliyetimuliwa adai kulikuwa na njama ya kutaka kumuuwa
Oct 20, 2024 23:19Naibu Rais wa Kenya aliyetimuliwa, Rigathi Gachagua amedai kujiri majaribio mawili yaliyofeli ya kutaka kumuua mwezi Agosti na Septemba mwaka huu.
-
Sudan na Sudan Kusini zajadili namna ya kuanzisha tena usafirishaji mafuta
Oct 20, 2024 23:17Sudan na Sudan Kusini jana Jumapili zilisisitizia haja ya kushughulikia vikwazo vinavyokwamisha juhudi za kuanzisha tena usafirishaji wa mafuta ya Sudan Kusini kupitia ardhi ya Sudan.
-
Kampeni ya chanjo dhidi ya kipindupindu yaanza nchini Sudan
Oct 20, 2024 07:02Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa, imeanzisha kampeni ya chanjo kwa ajili ya kuwafikia zaidi ya watu milioni 1.4 ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo ya mashariki na kaskazini mwa nchi hiyo.