-
Somalia yalaani shambulio la mauaji katika jimbo la Zamfara, Nigeria
Feb 23, 2026 07:06Somalia leo imelaani vikali shambulio la umwagaji damu katika jimbo la Zamfara kaskazini magharibi mwa Nigeria lililouwa raia wasiopungua 50. Wanawake na watoto pia walitekwa nyara katika hujuma hiyo ya kigaidi.
-
Mafuriko mashariki mwa Kongo yameacha zaidi ya kaya 2,500 bila makazi
Feb 23, 2026 06:30Zaidi ya kaya 2,500 zimeachwa bila makazi baada ya mito miwili kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko katika vijiji kadhaa katika eneo la kati, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Ghannouchi, akiwa gerezani: Mustakabali wa Tunisia ni uhuru, "hata kama itachukua muda"
Feb 23, 2026 03:38Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Ennahda, Rached Ghannouchi, amesema kwamba mustakabali wa Tunisia ni uhuru, utawala wa sheria na kubadilishana madaraka kwa amani "hata kama itachukua muda."
-
Waislamu wa kaunti kame Kenya walalamikia ukosefu wa maji katika mwezi Ramadhani
Feb 23, 2026 03:36Viongozi wa kidini nchini Kenya wamelalamika kuhusu hali ya ukame inayokumba kaunti zenye idadi kubwa ya Waislamu huku waumini wakiwa katika mfungo wa Ramadhani.
-
Machungu ya ukoloni: Pamba, moto, na njaa; faili la umwagaji damu la Ujerumani Afrika Mashariki
Feb 23, 2026 00:08Ukoloni katika karne ya 19 na 20 haukuwa tu ukihusiana na kueneza bendera katika ramani ya dunia; bali ulikuwa mradi uliopangwa wa kutwaa ardhi, rasilimali, na nguvukazi ambao ulibadilisha miundo ya kiuchumi na kijamii ya watu waliokuwa chini ya ukoloni.
-
Sudan: Kumpokea Hemedti huko Uganda ni "uungaji mkono wa moja kwa moja kwa mauaji ya kimbari"
Feb 22, 2026 10:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imelaani vikali hatua ya serikali ya Uganda ya kumpokea kamanda wa waasi wa Rapid Support Forces (RSF), Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti), ikielezea hatua hiyo kuwa ni "msaada wa moja kwa moja kwa uhalifu wa mauaji ya kimbari."
-
Sekta ya madini ya Sudan yapata hasara ya dola bilioni 7 huku vita vikiendelea
Feb 22, 2026 08:44Sekta ya madini nchini Sudan imepata hasara inayokadiriwa kufikia dola bilioni saba kufuatia kuendelea kwa vita vya vya ndani kwa takribani miezi 34. Hayo ni kwa mujibu wa Mamlaka ya Kitaifa ya Madini ya nchi hiyo.
-
Ufaransa yairejeshea Ivory Coast 'ngoma inayozungumza' waliyoiiba askari wake karne moja iliyopita
Feb 22, 2026 03:19Ufaransa imekabidhi "ngoma inayozungumza" ambayo iliporwa na wanajeshi wake wa kikoloni nchini Ivory Coast mnamo mwaka 1916, katika hatua ya karibuni zaidi kuchukuliwa na serikali ya Paris ya kurejesha vito vya sanaa ilivyoviiba kwenye makoloni yake ya zamani.
-
WFP kusimamisha huduma ya msaada wa chakula nchini Somalia
Feb 21, 2026 22:46Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, huenda likasitisha msaada na harakati zake za kibinadamu nchini Somalia ifikapo mwezi Aprili mwaka huu sababu ni ufadhili mpya kutopatikana haraka.
-
WHO: Makumi ya watu wameuawa katika mashambulio dhidi ya vituo vya afya Sudan
Feb 21, 2026 22:45Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, makumi ya watu wameuawa kufuatia mashambulio dhidi ya vituo vya afya nchini Sudan.