-
Araqchi: Waandishi wa habari walisimama kidete wakati wa vita vya siku 12
Aug 04, 2025 07:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kuwadia Siku ya "Waandishi wa habari" na amewakumbuka na kuwaenzi waandishi wa habari waliouliwa shahidi khususan katika vita vya kulazimishwa vya hivi karibuni.
-
Pezeshkian: Ukurasa mpya umefunguliwa katika uhusiano wa kidiplomasia kati ya Iran na Pakistan
Aug 04, 2025 04:10Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ziara yake nchini Pakistan na mazungumzo aliyofanya na viongozi wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa: Ukurasa mpya umefunguliwa katika uhusiano wa kidiplomasia kati ya Iran na Pakistan.
-
Iran yaalani hatua mpya za Wazayuni wenye misimamo ya mikali za kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa
Aug 04, 2025 04:09Esmaeil Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali kitendo cha Wazayuni wenye misimamo mikali cha kuuvunjia heshima kwa mara nyingine tena Msikiti wa Al-Aqsa wakiongozwa na waziri mtenda jinai wa utawala huo ghasibu Itamar Ben-Gvir ambaye ni Waziri wa Usalama wa Ndani wa Israel.
-
Iran yasisitiza kuwekewa vikwazo vya silaha na kuadhibiwa utawala mtenda jinai
Aug 03, 2025 23:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kuwa, jamii ya kimataifa inapaswa kuacha kutoa kauli tupu na badala yake kuchukua hatua za kivitendo ili kuwapa nafuu watu wa Gaza na kukomesha mauaji ya kimbari.
-
Miji minne ya Iran yaingia katika orodha ya maeneo 10 yenye joto kali zaidi duniani
Aug 03, 2025 23:01Miji minne ya Iran inaripotiwa kuingia katika orodha ya maeneo 10 yenye joto kali zaidi duniani.
-
Rais Pezeshkian Aishukuru Pakistan kwa kuiunga mkono Iran katika hujuma za utawala wa Kizayuni
Aug 03, 2025 11:05Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameshukuru uungaji mkono wa serikali na wananchi wa Pakistan dhidi ya hujuma za utawala wa Kizayuni na Marekani dhidi ya taifa hili na kusisitiza umuhimu wa uhusiano wa kihistoria na kiutamaduni kati ya nchi hizo mbili.
-
Spika Qalibaf: Iran haiombi usalama wake kutoka kwa mtu yeyote
Aug 03, 2025 11:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: "Iran haitaomba usalama wake kutoka kwa mtu yeyote hadi pale makosa ya kimahesabu ya maadui wa Iran yatakaporekebishwa.
-
Safari ya Rais Pezeshkian nchini Pakistani na muhimu wake katika milinganyo ya kijiopolitiki
Aug 03, 2025 08:34Safari ya Rais Pezeshkian nchini Pakistan sio tu kielelezo cha diplomasia amilifu ya Tehran, lakini pia inaweza kuwa ishara ya nafasi ya Iran katika milinganyo ya kijiopolitiki ya eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Pakistan wakutana kwa mazungumzo mjini Islamabad
Aug 03, 2025 02:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan Seneta Mohammad Ishaq Dar katika Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo mjini Islamabad.
-
SEPAH: Wanaopanga kuangamiza Gaza wanatafuta kuumeza ulimwengu wa Kiislamu
Aug 02, 2025 22:57Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limetahadharisha kuwa, makundi yanayopanga mauaji ya halaiki huko Gaza hayaishii tu katika kuwaangamiza wananchi wa Palestina, bali yanalenga pia kuyameza maeneo tajiri na ya kistratijia ya Ulimwengu wa Kiislamu.