-
Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Uko Imara Zaidi ya Ulivyokuwa Huko Nyuma
May 13, 2026 13:11Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar ameeleza katika mahojiano marefu aliyofanyiwa na televisheni ya Al Jazeera kwamba, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uko mara zaidi hivi sasa kuliko ulivyokuwa huko nyuma.
-
Wizara ya Ulinzi wa Iran: Kubalini haki za Iran au mkabiliwe na kipigo kingine cha kijeshi
May 13, 2026 12:21Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema maadui, Marekani na Uzayuni, wanapaswa kukubali haki halali za taifa la Iran, au wasubiri kushindwa tena katika nyanja za kidiplomasia na katika uwanja wa vita.
-
Kushiriki UAE katika vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni 'haramu kabisa'
May 13, 2026 12:18Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa kimetangaza kuwa ushiriki, uwezeshaji na ushirikiano wa UAE katika vita vya hivi karibuni vya Marekani na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Iran ni sawa na "kusaidia kambi ya ukafiri dhidi ya ndugu Waislamu" na hivyo, "kimsingi ni haramu."
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Msimamo wa Marekani ndio kikwazo kikuu kumaliza vita
May 13, 2026 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amesema kuwa msimamo wa Marekani wa kutaka masharti ya kupita kiasi pamoja na mienendo yake mingine inayodhoofisha juhudi za diplomasia ndiyo vizuizi vikuu vya kumaliza mzozo uliozuka kufuatia vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Spika Qalibaf: Majeshi ya Iran yako tayari kuwashitua wavamizi
May 12, 2026 09:13Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Qalibaf, amesema kuwa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu yako katika hali ya juu kabisa ya utayari wa kivita na yako tayari kutoa jibu kali, la haki na linalostahili dhidi ya aina yoyote ya uchokozi. Amewaonya maadui kwamba mikakati na maamuzi yenye makosa hayatazaa chochote isipokuwa maafa.
-
Araghchi ajadiliana na mawaziri wa mambo ya nje wa Saudi na Misri kuhusu diplomasia
May 12, 2026 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amejadiliana na mawaziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia na Misri kuhusu maendeleo muhimu katika mchakato wa kidiplomasia kati ya Iran na Marekani unaopatanishwa na Pakistan.
-
Baqaei: Marekani inaendelea kusisitiza mawazo yaliyobuniwa na utawala wa Israel
May 12, 2026 03:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Marekani inaendelea kung'ang'ania fikra na mawazo ya utawala wa Israel.
-
Iran yawasilisha majibu kwa pendekezo la Marekani la kukomesha uchokozi
May 12, 2026 03:40Iran imewasilisha mpango kamili wa kukomesha vita vya uchokozi wa Marekani na Israel, ikisisitiza kulipwa fidia kamili kwa uharibifu wa vita na kuondolewa vikwazo vyote.
-
Kamanda wa IRGC: Iran iko tayari kushambulia ngome za Marekani
May 10, 2026 09:08Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema makombora ya kisasa pamoja na droni za kivita za Iran tayari zimeelekezwa dhidi ya ngome za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi, huku vikosi vya jeshi vikisubiri amri ya mwisho ya kushambulia.
-
Mchezaji wa tenisi wa Iran ajiondoa mashindano ya dunia kuepuka kushindana na Muisraeli
May 10, 2026 09:04Mchezaji chipukizi wa tenisi kutoka Iran, Hana Shabanpour, amejiondoa katika fainali ya mashindano ya J60 Turkey World Tour siku ya Jumapili baada ya kukataa kucheza dhidi ya mpinzani aliyekuwa akiwakilisha utawala wa Israel, kama ishara ya kupinga mauaji na mateso dhidi ya Wapalestina.