-
Ahmadian: Iran inapinga mabadiliko yoyote ya kijiopolitiki katika eneo
Jul 20, 2025 04:35Ali Akbar Ahmadian Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali mabadiliko yoyote ya kijiopolitiki katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Rais Pezeshkian: Iran inaheshimu sheria za kimataifa lakini haitasalimu amri mbele ya mabavu
Jul 20, 2025 00:45Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesisitiza kuwa Iran inaendelea kujitolea kuheshimu sheria za kimataifa, lakini kamwe haitsalimu amri mbele ya mabavu wala kukubali kukandamizwa haki zake halali kwa njia yoyote ile.
-
Timu ya Iran yapata medali sita katika Mashindano ya 66 ya Kimataifa ya Hisabati
Jul 19, 2025 23:00Timu ya taifa ya hisabati ya Iran imeshinda medali sita katika Mashindano ya 66 ya Kimataifa ya Hisabati (IMO) yaliyofanyika Australia.
-
Rais wa Iran: Umoja na mshikamano ni suala la dharura kwa umma wa Kiislamu
Jul 19, 2025 11:07Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ametoa wito wa umoja na mshikamano zaidi nchini Iran na katika ulimwengu mzima wa Kiislamu ambao unakabiliwa na vitisho vya usalama vya pamoja vya maadui.
-
Araghchi: Iran ‘imejiandaa kikamilifu’ iwapo Israel itavunja usitishaji vita ‘dhaifu’
Jul 19, 2025 10:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu iko macho na iko tayari kujilinda iwapo utawala wa Israel utavunja usitishaji vita "tete" uliohitimisha siku 12 za uchokozi wa utawala huo wa Kizayuni dhidi ya nchi hii mwezi uliopita.
-
Wizara ya Ulinzi ya US yanakili droni ya kamikaze ya Iran
Jul 19, 2025 10:32Marekani imenakili na kuzindua toleo lake la ndege ya kivita isiyo na rubani ya Iran ya Shahed-136, katika juhudi za kupanua machaguo ya droni za bei nafuu kwa ajili ya kuzitumia kwneye medani za kisasa za vita.
-
Baqaei: Iran inaunga mkono uhuru, mamlaka ya kujitawala Syria
Jul 18, 2025 12:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono uhuru na mamlaka ya kitaifa ya kujitawala Syria.
-
Meja Jenerali Mousavi: Shambulio lolote tarajiwa dhidi Iran litakabiliwa kwa nguvu zaidi
Jul 18, 2025 11:30Kamanda Mkuu wa Majeshi la Iran, Meja Jenerali Abdolrahim Mousavi ameonya kwamba, uchokozi wowote tarajiwa wa maadui utakabiliwa na jibu baya na kali zaidi.
-
Iran yaitaka EU iachane na sera zake chovu za vitisho, mashinikizo
Jul 18, 2025 11:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametoa wito kwa Umoja wa Ulaya, na hasa Troika ya Ulaya E3 (Ufaransa, Ujerumani, na Uingereza) kuachana na "sera zao zilizochoka" za vitisho na mashinikizo.
-
Dakta Zarif: Tishio pekee kwa utawala wa Israel ni amani
Jul 18, 2025 10:32Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Masuala ya Kistratejia wa Iran, Mohammad-Javad Zarif amesema kuwa, tishio pekee lililopo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni amani.