-
‘Unafiki’: Iran yashutumu Ufaransa kwa kuhubiri haki huku ikiunga mkono uhalifu wa Marekani na Israel
Aug 13, 2026 10:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amelaani vikali Ufaransa na mataifa mengine kwa kujifanya mawakili wa haki za binadamu na sheria za kimataifa, wakati wakihalalisha na kuunga mkono uhalifu wa kivita unaofanywa na Israel na Marekani.
-
Iran yasisitiza Lango la Hormuz halifunguliwi mpaka masharti yake yatimizwe
Aug 13, 2026 10:39Mamlaka ya Iran inayosimamia Lango Bahari la Hormuz katika Ghuba ya Uajemi imekanusha vikali madai ya maafisa wa Marekani kuhusu kufunguliwa tena kwa njia hiyo ya kimkakati ya baharini.
-
Rais wa Iran amwambia Waziri Mkuu wa Japan: Iran haijawahi kukiuka sheria za kimataifa
Aug 13, 2026 04:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran haijawahi kukiuka sheria za kimataifa.
-
Jenerali: Jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa
Aug 13, 2026 04:37Naibu wa Mambo ya Kiutendaji katika Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utayari wa kijeshi na uwezo wa kimkakati wa jeshi hilo vimelazimisha Marekani kurekebisha malengo yake ya kisiasa mara kwa mara, akionya kuwa jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa.
-
Rezaei: Mlango-Bahari wa Hormuz utafunguliwa ikiwa tu US itayakubali masharti ya Iran
Aug 12, 2026 12:33Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, kufunguliwa tena kikamilifu Mlango-Bahari wa Hormuz katika Ghuba ya Uajemi, ambao umewekewa vizuizi vya uvukaji na Iran tangu mwanzoni mwa mwezi Machi kutokana na uchokozi wa kijeshi wa Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel kutafanyika pale tu Marekani itakapoyakubali masharti ya Iran.
-
Sababu na Umuhimu wa Makubaliano ya Makka
Aug 12, 2026 06:39Siku ya Ijumaa, Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan zilitia saini "Makubaliano ya Makka ya Ulinzi wa Pamoja".
-
Qalibaf awapongeza makamanda wa ngazi ya juu kwa uteuzi wao katika majeshi ya Iran
Aug 11, 2026 11:27Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amewapongeza makamanda na maafisa kadhaa wa ngazi ya juu wa jeshi walioteuliwa kushika nyadhifa muhimu za kijeshi.
-
Araqchi: Iran ilifanikiwa katika nyanja zote mbili, yaani vita na diplomasia dhidi ya uchokozi wa Marekani na Israel
Aug 11, 2026 11:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi ameeleza kuwa Tehran imepata ushindi katika nyanja zote mbili za kijeshi na kidiplomasia katika uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani na Israel katika vita vya siku 12 na kusisitiza kuwa muqawama wa Iran uliwalazimisha maadui kuomba kufanya mazungumzo.
-
Kwa nini ushawishi wa Kizayuni nchini Marekani hauna tena taathira kama zamani?
Aug 11, 2026 06:16Ushindi wa Abdul El-Sayed katika uchaguzi wa mchujo wa Chama cha Democratic jimboni Michigan umeashiria kushindwa wazi kwa mara ya kwanza kwa fikra inayosema kwamba pesa, ushawishi na kampeni hasi huamua matokeo ya kisiasa ya moja kwa moja nchini Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu ateua makamanda wapya katika nyadhifa mbalimbali za jeshi la Iran
Aug 11, 2026 03:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amefanya uteuzi mpya katika baadhi ya nyadhifa za juu za kijeshi nchini, huku akimteua Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi kuwa Kamanda mpya wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).