-
Kwa nini ushawishi wa Kizayuni nchini Marekani hauna tena taathira kama zamani?
Aug 11, 2026 06:16Ushindi wa Abdul El-Sayed katika uchaguzi wa mchujo wa Chama cha Democratic jimboni Michigan umeashiria kushindwa wazi kwa mara ya kwanza kwa fikra inayosema kwamba pesa, ushawishi na kampeni hasi huamua matokeo ya kisiasa ya moja kwa moja nchini Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu ateua makamanda wapya katika nyadhifa mbalimbali za jeshi la Iran
Aug 11, 2026 03:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amefanya uteuzi mpya katika baadhi ya nyadhifa za juu za kijeshi nchini, huku akimteua Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi kuwa Kamanda mpya wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Iran: Mkataba wa Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan unaonyesha kuongezeka hali ya kutoaminika ahadi za usalama za Marekani
Aug 11, 2026 03:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran anasema makubaliano ya ulinzi yaliyosainiwa hivi karibuni kati ya Saudi Arabia, Pakistani na Uturuki yanaonyesha mtazamo wa mataifa ya kikanda kuhusu "udanganyifu" wa Marekani linapokuja suala la usalama.
-
Jarida la Wall Street: Vita na Iran vimefichua udhaifu wa jeshi la Marekani
Aug 11, 2026 03:03Jarida la The Wall Street Journal, katika uchambuzi, limeeleza wasiwasi wake kuhusu kufichuka mapungufu na udhaifu wa jeshi la Marekani katika vita na Iran.
-
Baghaei: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa kikanda
Aug 10, 2026 11:54Esmaeil Baghaei msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa zaidi kwa utulivu, usalama na ushirikiano miongoni mwa nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Seneta wa Marekani: Vita vimeifanya Iran kuwa imara zaidi, Marekani imedhoofika
Aug 10, 2026 11:36Seneta mmoja wa Marekani, amekiri wazi kushindwa serikali ya Donald Trump katika vita dhidi ya Iran, na kubainisha kwamba, vita hivyo vimesababisha Marekani kudhoofika na Iran kuwa na nguvu zaidi.
-
Ufichuzi kuhusu kisingizio bandia kilichotumiwa na Trump kuishambulia Iran
Aug 10, 2026 04:54Joe Kent, afisa wa zamani katika utawala wa Trump, amekiri kuwa madai kuhusu Iran kutengeneza silaha za nyuklia ni mbinu ya kipropaganda tu iliyotumika kwa ajili ya kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran.
-
Rais Pezeshkian akutana na Kiongozi Muadhamu anapoanza mwaka wake wa tatu madarakani
Aug 10, 2026 03:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amekutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ikiwa ni mwanzo wa mwaka wake wa tatu tangu aingie madarakani.
-
Iran yazindua teknolojia ya virusi vya kuangamiza saratani
Aug 10, 2026 03:17Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua teknolojia ya kiasili kwa ajili ya kubuni, uhandisi wa kijeni, uzalishaji wa virusi vya oncolytic vinavyoua seli za saratani.
-
Araqchi: Mazungumzo na Oman kuhusu Lango-Bahari la Hormuz yako katika hatua za mwisho
Aug 09, 2026 11:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema leo kwamba mazungumzo na Oman kuhusu Lango Bahari la Hormuz yako katika hatua za mwisho na kuongeza: "Bila shaka, hii haina maana kwamba Lango la Hormuz litafunguliwa. Ufunguzi wa Lango la Hormuz unategemea masharti mengine."