-
Sisitizo la Iran la ulazima wa "kupigwa buti" sarafu ya dola katika mabadilishano ya biashara
Jul 26, 2024 22:53Naibu Gavana wa Benki Kuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuna udharura kwa nchi za dunia kufanya biashara na kuendesha miamala baina yao kwa kutegemea sarafu za nchi zao na si kwa kutumia dola ya Marekani au Euro ya Ulaya.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Rais mteule wa Iran ametokana na kura za wananchi
Jul 26, 2024 09:27Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, rais mteule wa Iran amechaguliwa kwa kura za wananchi.
-
Iran yalaani hatua ya Ujerumani kufunga Kituo cha Kiislamu Hambrug
Jul 26, 2024 04:17Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Ali Bagheri Kani amelaani vikali hatua ya polisi ya Ujerumani ya kupiga marufuku Kituo cha Kiislamu cha Hamburg (IZH) na asasi zake tanzu, na kusema kwamba hatua hiyo inakiuka kanuni za kimsingi za uhuru wa kuabudu.
-
Iran yakanusha madai ya njama ya kuwalenga wanariadha wa Israel katika michezo ya Olimpiki
Jul 26, 2024 04:16Iran imekanusha vikali madai ya njama ya kuwalenga wanariadha na watalii wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Paris.
-
Pezeshkian awahutubu wabunge wa US: Damu ya wasio na hatia haitaacha katu kumwandama dhalimu
Jul 26, 2024 09:31Rais Mteule wa Iran Masoud Pezeshkian ametoa mjibizo kwa kitendo cha wabunge wa Marekani cha kumshangilia waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni alipohutubia bunge la nchi hiyo na kusisitiza kwamba: "damu ya wasio na hatia haitaacha katu kumwandama dhalimu."
-
Kiongozi Muadhamu: Uungaji mkono wa ulimwengu kwa Palestina unatokana na moyo wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jul 26, 2024 00:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema harakati zinazofanywa duniani siku hizi kwa manufaa ya Palestina ni matokeo ya moyo wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran yalaani hotuba ya Netanyahu katika Kongresi ya Marekani
Jul 25, 2024 07:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Benjamin Netanyahu, mtenda jinai nambari moja wa utawala bandia wa Israel, amepakatwa kwenye mikono ya waungaji mkono wake baada ya miezi 9 ya mauaji ya kimbari na mauaji ya watoto wachanga; na fedheha ndilo neno dogo linaloweza kutumiwa kueleza kashfa hiyo.
-
Mabalozi wa Ujerumani na Uingereza mjini Tehran waitwa Wizara ya Mambo ya Nje
Jul 25, 2024 03:35Kufuatia hatua ya chuki dhidi ya Uislamu ya serikali na polisi wa Ujerumani katika mashambulizi na kufungwa Kituo cha Kiislamu cha Hamburg, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ilipinga kitendo hicho na kumwita balozi wa Ujerumani mjini Tehran kwa ajili ya kutoa maelezo.
-
Iran itarusha satelaiti zaidi katika anga za mbali hivi karibuni
Jul 25, 2024 00:53Mkuu wa Wakala wa Anga za Mbali nchini Iran Hassan Salarieh ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itarusha angalau satelaiti 6 katika anga za mbali kabla ya mwisho wa mwaka huu wa Kiirani.
-
Russia: Tehran na Moscow zinaendelea kuyafanyia kazi makubaliano makubwa ya ushirikiano
Jul 24, 2024 09:34Baada ya kuchapishwa taarifa kuhusu kusimamishwa kwa muda makubaliano ya ushirikiano kati ya Iran na Russia; Dmitry Peskov Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema kazi ya kutekeleza makubaliano makubwa kati ya nchi yake na Iran inaendelea lakini ratiba imebadilika kwa sababu ya kufanyika uchaguzi nchini Iran.