-
Kamanda wa IRGC: Vikosi vya Wanamaji vya Jeshi na IRGC ni jinamizi kwa maadui wa Iran
May 18, 2024 23:18Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amekaribisha kurejea nchini flotila ya tano ya manowari za Iran baada ya kukamilisha kazi maalumu ziliyopewa na kusema: "leo Vikosi vya Wanamaji vya Jeshi na IRGC, -vinavyofanya kazi kwa kutegemea imani na azma thabiti na kwa kutumia uwezo wao wa kiulinzi na wa kijeshi wa kisasa na wa kuzuia hujuma-, ni jinamizi kwa maadui wa eneo na wa nje ya eneo.
-
Iran yakanusha taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi
May 18, 2024 23:16Nasser Kan’ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, amesisitiza kuwa visiwa vitatu vya Bu Musa na Tunb Kubwa na Ndogo vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi vitaendelea kuwa sehemu isiyotenganishika ya ardhi ya Iran na kwamba madai yasiyo na msingi yanayotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu suala hilo hayakubaliki kabisa.
-
Iran: Marekani na Magharibi hazisiti kukiuka sheria za kimataifa
May 18, 2024 09:11Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameasema kuwa sheria za kimataifa zinakabiliwa na udhaifu wa dhamana ya utekelezaji na kusisitiza kuwa: Marekani na nchi za Magharibi kwa ujumla zinakubali sheria za kimataifa kiubaguzi na hazisiti kukanyaga haki hizo kwa kutumia visingizo vya kisiasa.
-
Bagheri: Iran na Russia zimegeuza vikwazo vya Marekani kuwa fursa
May 18, 2024 04:09Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Mkutano wa "Russia na Ulimwengu wa Kiislamu" kwamba: Vikwazo vya Marekani vimegeuzwa kuwa fursa kwa busara na viongozi wa Tehran na Moscow.
-
Iran yakadhibisha madai ya Marekani kuhusu Yemen, yasema ni uongo mtupu
May 18, 2024 00:31Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali madai ya Marekani iliyosema Jamhuri ya Kiislamu inaingilia masuala ya Yemen na kusema kuwa, Washington inalenga kufikia maslahi yake ya kisiasa katika eneo la Magharibi mwa Asia kupitia njia ya kueneza uwongo na upotoshaji.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Utawala wa Kizayuni umeshindwa huko Gaza
May 17, 2024 11:49Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel haujafanikiwa lolote katika mashambulizi yake huko Gaza isipokuwa kushindwa.
-
Iran yaikataa taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi
May 17, 2024 04:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetupilia mbali kauli "isiyo na msingi" na "isiyokubalika" iliyotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na visiwa vitatu vya Abu Musa na Tunb Kubwa na Ndogo vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa visiwa hivyo vitabaki kuwa milki ya Iran.
-
Mafanikio ya uvumbuzi wa wanawake wa Iran katika nyanja mbalimbali
May 17, 2024 03:39Ingawa bado kuna pengo kubwa kati ya wavumbuzi wanawake na wanaume duniani lakini viashiria vilivyopo vinaonyesha kuwa juhudi zinazofanywa na wanawake wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kuziba pengo hilo zinaendelea kwa kasi kubwa.
-
Watu 7 wafariki dunia katika janga la mafuriko Mash'had, Iran
May 16, 2024 08:51Mvua kubwa iliyonyesha Mashhad, jiji la pili kwa idadi kubwa ya watu nchini Irani, imesababisha vifo vya watu saba na 12 kutoweka.
-
UK, Ufaransa na Ujerumani zaonywa kwa kutuma ndege kuilinda Israel katika Operesheni ya Ahadi ya Kweli
May 16, 2024 03:55Brigedia Jenerali Esmail Qa’ani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametoa onyo kwa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa baada ya nchi hizo tatu za Troika ya Ulaya kupeleka ndege zao za kivita kuulinda utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya operesheni ya kulipiza kisasi ya Ahadi ya Kweli iliyofanywa na Iran mwezi uliopita wa Aprili.