-
Ebrahim Raisi: Palestina leo ni suala la kwanza na la pamojakwa nchi zote za Kiislamu
May 16, 2024 00:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema adui leo anataka kuongoza maoni ya umma ya mataifa juu ya suala la Gaza, kwa himaya ya vyombo vya habari, habari za uongo, simulizi zisizo za kweli, na upotoshaji wa ukweli, akisisitiza umuhimu wa nafasi na wajibu wa waandishi na wana utamaduni katika kukabiliana na njama hii.
-
Sera za Iran kuhusu nishati ya nyuklia hazijabadilika
May 15, 2024 07:21Nasser Kanani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran alitangaza Jumatatu 13 Mei kwamba, sera za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hazijabadilika.
-
Iran yalaani mwito wa Seneta wa Marekani wa kutaka Israel idondoshe mabomu ya nyuklia Gaza
May 15, 2024 00:59Iran imelaani pendekezo la "kutisha" la seneta wa chama cha Republican nchini Marekani kwamba Israel inapaswa kutumia mabomu ya nyuklia huko Gaza.
-
"Mauaji ya watoto 15,000 wa Gaza yanaashiria mwisho wa Israel"
May 14, 2024 23:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna shaka kuwa mauaji ya watoto zaidi ya 15,000 wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza itakuwa chachu ya kuharakisha mchakato wa kuporomoka na kusambaratika utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Haki za binadamu za Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja
May 14, 2024 23:07Ali Kanani Chafi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema haki za binadamu za Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja kwani zote zinakiuka pakubwa haki za binadamu dhidi ya mateka na wafungwa, moja huko Negev na nyingine huko Guantanamo na Abu Ghraib.
-
Iran: Israel ni nembo ya ugaidi ulioratibiwa duniani
May 14, 2024 08:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kama nembo kuu ya ugaidi ulioratibiwa duniani.
-
Azma ya Iran ya kuimarisha ushirikiano na nchi za eneo
May 14, 2024 04:30Hossein Amirabdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza katika kikao cha tatu cha mazungumzo ya Iran na nchi za Kiarabu kwa ajili ya maingiliano na ushirikiano kwamba Iran imeazimia kuboresha na kuimarisha maelewano na ushirikiano kati yake na nchi za eneo.
-
Amir Abdollahian: Kuendelea uingiliaji wa Marekani nchini Afghanistan kunatatiza zaidi hali ya nchi hiyo
May 14, 2024 02:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kuendelea uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Afghanistan kutafanya hali ya mambo ya nchi hiyo kuwa ngumu zaidi.
-
Iran: Haki za binadamu za Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja
May 14, 2024 00:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran anasema haki za binadamu za Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja kwani zote zinafanya uhalifu mkubwa dhidi ya wafungwa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu atembelea Maonyesho ya Vitabu ya Tehran
May 13, 2024 08:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu mjini Tehran