-
Azma ya Iran ya kuimarisha ushirikiano na nchi za kieneo
May 13, 2024 08:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir Abdollahian amesisitiza katika kikao cha mkutano wa tatu wa Mazungumzo kati ya Iran na Waarabu uliopewa jina la "Kwa Ajili ya Ushirikiano na Maingiliano" kwamba Iran imeazimia kukuza na kuzidisha maelewano na ushirikiano na nchi za eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Wairani waanza safari ya kulekea ardhi ya Wahy kwa ajili ya ibada ya Hija
May 13, 2024 07:57Misafara ya kwanza ya Wairani wanaoelekea katika ardhi ya wahyi kwa ajili ya ibada ya Hija imeondoka nchini mapema leo.
-
Iran: Amani ya Asia Magharibi inategemea kupokonywa silaha Israel
May 13, 2024 03:23Iran inasema kuimaishwa amani kamili na ya kweli, utulivu na usalama katika eneo la Asia Magharibi kunategemea kupokonywa silaha kwa utawala ghasibu wa Israel na kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Balozi wa Iran nchini Iraq: Usalama wa taifa ni mstari mwekundu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 12, 2024 07:45Balozi wa Iran nchini Iraq ameashiria uhusiano mkubwa na wa kistratejia kati ya nchi mbili na kusema: Usalama wa taifa ni mstari mwekundu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
IRGC: Operesheni ya Ahadi ya Kweli ilikuwa jibu la Iran kwa makosa ya Israel
May 12, 2024 03:54Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Operesheni ya Ahadi ya Kweli ya Iran ilikuwa hatua ya wakati muafaka ya kutoa adhabu kwa kosa la kistratijia la utawala wa Kizayuni wa Israel la kushambulia jengo la kidiplomasia la Jamhuri ya Kiislamu nchini Syria.
-
Iran: Israel haijawahi kutengwa kiasi hiki katika historia yake bandia
May 11, 2024 23:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria hatua ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA ya kupasisha rasimu ya azimio la kutaka kutazamwa upya suala la taifa la Palestina kupewa uanachama kamili katika umoja huo na kusema kuwa, utawala haramu wa Israel haujawahi kutengwa kwa kiwango kikubwa kama cha sasa katika historia yake bandia.
-
Nasser Kan'ani: Jeshi la SEPAH ni mbeba bendera ya kupambana na ugaidi
May 11, 2024 08:53Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, mpango wa Bunge la Kanada wa kuwatangaza Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuwa ni magaidi ni hatua isiyo ya busara, ya kiuadui na kinyume na viwango na kanuni zinazokubalika za sheria za kimataifa.
-
Iran: Kuipa uanachama Palestina, ni hatua ya kwanza ya kukabiliana na dhulma
May 11, 2024 04:31Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Tehran inakaribisha hatua ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA ya kupasisha azimio la kutaka kutazamwa upya suala la taifa la Palestina kupewa uanachama kamili katika umoja huo.
-
Maonyesho ya 28 ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi ya Tehran
May 11, 2024 00:41Maonyesho ya 28 ya Kimataifa ya Mafuta, Gesi, Viwanda vya Usafishaji na Petrokemikali ya Iran yalianza Jumatano wiki hii mjini Tehran kwa kushirikisha zaidi ya makampuni 1,500 ya ndani na 250 ya kigeni.
-
Rais wa Iran: Makombora na uwezo wa kijeshi wa Iran haviwezi kujadiliwa
May 10, 2024 06:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa baraka kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa wajukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Bibi Fatima Masoumah na kaka yake, Imam Ridha (as) na kusema: Kama ilivyosisitizwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, uwezo wa kijeshi na vielelezo vya mamlaka ya mfumo wa Kiislamu hapa nchini haviwezi kujadiliwa au kufanyiwa biashara kwa njia yoyote ile.