-
Iran: Kuipa uanachama Palestina, ni hatua ya kwanza ya kukabiliana na dhulma
May 11, 2024 04:31Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Tehran inakaribisha hatua ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA ya kupasisha azimio la kutaka kutazamwa upya suala la taifa la Palestina kupewa uanachama kamili katika umoja huo.
-
Maonyesho ya 28 ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi ya Tehran
May 11, 2024 00:41Maonyesho ya 28 ya Kimataifa ya Mafuta, Gesi, Viwanda vya Usafishaji na Petrokemikali ya Iran yalianza Jumatano wiki hii mjini Tehran kwa kushirikisha zaidi ya makampuni 1,500 ya ndani na 250 ya kigeni.
-
Rais wa Iran: Makombora na uwezo wa kijeshi wa Iran haviwezi kujadiliwa
May 10, 2024 06:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa baraka kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa wajukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Bibi Fatima Masoumah na kaka yake, Imam Ridha (as) na kusema: Kama ilivyosisitizwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, uwezo wa kijeshi na vielelezo vya mamlaka ya mfumo wa Kiislamu hapa nchini haviwezi kujadiliwa au kufanyiwa biashara kwa njia yoyote ile.
-
Kiongozi Muadhamu: Kushiriki uchaguzi ni wajibu wa kitaifa wa kila mmoja
May 10, 2024 04:29Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kushiriki katika uchaguzi ni wajibu wa kitaifa kwa wananchi wote.
-
Iran: Lugha ya Kifarsi kufundishwa katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe
May 10, 2024 03:53Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran ametangaza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuanza kufunza lugha ya Kifarsi katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe.
-
Iran yakosoa vitisho na mashinikizo wawakilishi wa Kongresi dhidi ya mahakama ya ICC
May 09, 2024 22:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ni fedheha na jambo lenye kutia wasiwasi kuona baadhi ya wawakilishi wa Kongresi na Seneti ya Marekani wanatoa vitisho na kuwashinikiza waendesha mashtaka na majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Iran: Tutaangalia upya sera ya nyuklia iwapo uwepo wetu utatishiwa
May 09, 2024 22:40Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu italazimika kuangalia upya kanuni yake ya nyuklia iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatishia uwepo na usalama wa taifa hili.
-
Iran yataka Umoja wa Mataifa uishinikize zaidi Israel inayofanya mauaji ya kimbari
May 09, 2024 08:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametahadharisha dhidi ya kuendelea utendaji hatari wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kutaka kuongezwa mashinikizo hususan kutoka Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Magharibi iliiomba Iran 'isiipige sana Israel', ipunguze ukali wa operesheni ya Ahadi ya Kweli
May 09, 2024 00:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema nchi za Magharibi ziliiomba Jamhuri ya Kiislamu ijizuie na ipunguze ukali wa operesheni yake ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kabla ya kushambulia vituo vya utawala huo mwezi uliopita kujibu mapigo kwa shambulio lake la kigaidi ulilofanya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria.
-
Raisi: Iran kamwe haitaruhusu kutengwa wanawake katika jamii
May 08, 2024 23:03Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu katu haitakubali sera ambazo zitapelekea kutengwa wanawake katika jamii.