-
Vyuo vikuu zaidi vya Iran vyakaribisha waliofukuzwa kwenye vyuo vya Marekani
May 04, 2024 03:28Vyuo vikuu viwili maarufu vya Iran vimejiunga na vyuo vingine vikuu kadhaa hapa nchini na kutoa ufadhili wa masomo na mazingira bora ya kielimu kwa wanafunzi ambao wamefukuzwa kwenye vyuo vikuu vya Marekani kwa sababu tu ya kuandamana wakipinga mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza na misaada ya kijeshi ya Marekani kwa utawala huo.
-
Abdollahian aelekea Gambia kushiriki mkutano wa OIC, unajadili changamoto za Waislamu hususan Palestina
May 04, 2024 03:26Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameondoka Tehran kuelekea Banjul, mji mkuu wa Gambia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC.
-
Iran yalaani ukandamizaji unaofanywa na Serikali ya Marekani dhidi ya wanafunzi wanaoitetea Palestina
May 03, 2024 23:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Nasser Kan'ani amelaani hatua ya vyombo vya dola vya Marekani ya kukandamiza kwa mkono wa chuma maandamano ya wanafunzi wanaoitetea na kuiunga mkono Palestina yanayofanyika kwenye maeneo ya vyuo vikuu vya nchi hiyo.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa: Operesheni ya Ahadi ya Kweli iliyonyesha uwezo wa kijeshi wa Iran
May 03, 2024 07:20Imamu wa muda Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Iran ilionyesha uwezo wake wa usimamizi wa masuala ya kijeshi katika operesheni pana na ya kiwango cha juu zaidi ya ndege zisizo na rubani na makombora dhidi ya utawala wa Kizayui wa Israel.
-
Iran: Palestina inapaswa kuwa mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa
May 03, 2024 00:47Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kukubaliwa Palestina kama mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa.
-
Iran yaziwekea vikwazo kampuni na maafisa wa Marekani, Uingereza kwa kuhusika na ugaidi
May 03, 2024 00:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeyawekea vikwazo mashirika na watu binafsi wa Marekani na Uingereza kwa kuhusika na ugaidi na ukiukaji wa haki za binadamu kupitia kufadhili vitendo vya kinyama vya Israel dhidi ya Wapalestina, hasa wale wa Ukanda wa Gaza.
-
Mahdavi: Iran iko tayari kusafirisha vifaa vya matibabu barani Afrika
May 02, 2024 08:15Katibu wa Baraza la Sera ya Mauzo ya Nje la Shirika la Chakula na Dawa la Wizara ya Afya ya Iran ametangaza utayarifu wa Iran wa kusafirisha vifaa na suhula za matibabu barani Afrika.
-
Iran na Uganda zaazimia kupanua ushirikiano katika uga wa mawasiliano na teknolojia ya habari
May 02, 2024 07:51Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Iran ametangaza utayari wa taifa hili wa kushirikiana na Uganda katika miradi ya mawasiliano na teknolojia habari na uhamishaji wa taaluma hiyo kwa taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Maoni ya Kiongozi Muadhamu: Gaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu
May 02, 2024 07:44Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Gaza ndilo suala la kwanza kwa mfumo wa Ulimwengu.
-
Iravani: Madai ya uwongo ya Israel dhidi ya Iran; juhudi za kuupotosha ulimwengu kuhusu jinai za Gaza
May 02, 2024 04:13Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameyataja madai ya uwongo ya Israel dhidi ya Iran kuwa ni juhudi zenye lengo la kupotosha mazingatio ya walimwengu kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.