-
Iran yalaani kimya cha dunia mkabala wa jinai za Israel huko Gaza
Mar 21, 2024 07:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kusitishwa uungaji mkono kwa jinai na mauaji yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yafunguliwa Tehran
Mar 21, 2024 04:45Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yamefunguliwa katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Hijria Shamsia.
-
Gazeti la Kirusi: Mhimili wa Moscow-Tehran-Beijing unaundika katika maji ya bahari
Mar 21, 2024 04:27Gazeti la Russia la "Nezavisimaya Gazeta" limeandika kwamba muungano mpya unaundwa kaskazini mwa Bahari ya Hindi kati ya China, Russia na Iran, na kwamba mazoezi ya pamoja ya majini kati ya meli za kivita za nchi hizo tatu yanafanyika katika "Ghuba ya Oman" chini ya jina "Ukanda wa Usalama wa Baharini."
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Njia ya kukomesha dhulma kubwa ya kuwepo utawala wa Kizayuni itaendelea
Mar 20, 2024 23:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: Njia ya kukomesha dhulma kubwa ya kuwepo utawala wa Kizayuni wa Israel itaendelea.
-
Kiongozi Muadhamu: Muqawama umevunja njama za Marekani katika eneo
Mar 20, 2024 11:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza operesheni za makundi ya muqawama ya Palestina, Yemen, Syria, Iraq, na Lebanon dhidi ya utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa, mrengo wa mapambano ya Kiislamu umefanikiwa kusambaratisha njama za Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran yaonya kuhusu hatua za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wanaokwenda kusali Msikiti wa Al-Aqsa
Mar 20, 2024 08:41Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu vitendo vyovyote vya kichokozi vinavyoweza kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Quds Tukufu na Msikiti wa Al-Aqsa dhidi ya Waislamu Wapalestina wanaokwenda kusali katika msikiti huo wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Maadhimisho ya kupitishwa kwa sheria ya kutaifishwa kwa sekta ya mafuta ya Iran
Mar 20, 2024 04:28Siku ya mwisho katika kalenda ya Hijria Shamsia ya Iran ambayo ilikuwa jana ni maarufu kama "Siku ya Kutaifisha Sekta ya Mafuta". Katika siku hii, miaka 73 iliyopita baada ya vuta nikuvute na mapambano ya wananchi wa Iran dhidi ya mkoloni Mwingereza na utawala kibaraka wa mfalme hapa nchini, hatimaye wabunge wa Bunge la Taifa walipitisha muswada wa kutaifisha sekta ya mafuta nchini.
-
Rais Ebrahim Raisi: Mwaka 1403 Hijria Shamsia ni wa kuongeza uzalishaji
Mar 20, 2024 04:01Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa baraka kwa mnasaba wa kuingia mwaka mpya wa Kiirani wa 1403 Hijria Shamsia na kusaidifiana tukio hilo na mwezi mtukufu wa Ramadhani na kusema kuwa, mwaka huu utakuwa wa kuongeza uzalishaji wa bidhaa.
-
Mwaka mpya wa Hijria Shamsia; Mwaka wa Mapinduzi ya Kiuchumi kwa Kushirikisha Wananchi
Mar 20, 2024 00:36Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe muhimu kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa 1403 Hijria Shamsia na ameuita mwaka huo kuwa ni wa mapinduzi ya kiuchumi kwa kushirikisha wananchi.
-
Rais wa Russia awapongeza Wairani kwa mnasaba wa Ramadhani na Mwaka Mpya
Mar 19, 2024 23:12Rais wa Russia Vladimir Putin amelipongeza taifa la Iran kwa kwa minasaba miwili ya mwezi mtukfuu wa Ramadhani na kuwadiawaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsiya ambao umeanza leo.