-
Iran yalaani shambulio katika hospitali ya Al Shifa Ukanda wa Gaza
Mar 19, 2024 08:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha ukatili na kinyama cha utawala wa Kizayuni cha kuishambulia hospitali ya al Shifa huko Ukanda wa Gaza.
-
Iran: Shutuma za USA na UK kuhusu Bahari Nyekundu na Yemen hazina msingi wowote
Mar 19, 2024 04:27Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma zisizo na msingi za Marekani na Uingereza dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu hali ya Bahari Nyekundu na Yemen.
-
Kuwekwa vikwazo vipya dhidi ya Iran
Mar 18, 2024 23:09Wizara ya Fedha ya Marekani kwa mara nyingine imeamua kuweka vikwazo vipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Abdollahian: Iran ina azma ya kuimarisha uhusiano na Niger
Mar 18, 2024 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa serikali ya Rais Ebrahim Raisi ina hamu ya kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano na nchi za Afrika ikiwemo Niger.
-
Mkuu wa usalama wa Iran: Syria yenye nguvu itanufaisha usalama na utulivu wa eneo
Mar 18, 2024 01:50Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) Ali Akbar Ahmadian amesema Syria yenye nguvu itanufaisha usalama na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi.
-
Mashirika 16 ya Kiirani katika maonyesho ya afya Kenya
Mar 17, 2024 07:40Mashirika 16 ya ubunifu wa utaalamu ya Iran yanashiriki katika duru ya 24 la Maonyesho ya Sekta ya Afya nchini Kenya, yaliyopangwa kufanyika Nairobi kuanzia tarehe 17 hadi 19 mwezi Aprili mwaka huu.
-
Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kuisaidia Syria kuimarisha nguvu zake za kiulinzi na za kuzuia mashambulio
Mar 17, 2024 02:28Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kutumia uwezo wake wote kuisaidia Syria katika kuimarisha ulinzi na uwezo wake wa kuzuia hujuma za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuishtaki Israel katika mahakama ya ICJ
Mar 16, 2024 23:25Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza na kuishukuru Afrika Kusini kwa uamuzi wake wa kihistoria wa kuwasilisha kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Vikwazo vya upande mmoja; ukiukaji wa haki za binadamu
Mar 16, 2024 22:40Balozi na Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika makao ya Umoja wa Mataifa barani Ulaya huko Geneva Uswisi amesema kuwa leo hii madhara ya vikwazo haramu vya upande mmoja yamedhihirika wazi mbele ya walimwenu ambapo vimefanya hali ya migogoro ya kibinadamu kuwa mbaya zaidi sambamba na kuchochea ukiukwaji wa haki za kimsingi za binadamu.
-
Kan'ani: Ndoto za kuigawa vipande vipande Iran zitazikwa kwenye kaburi la sahau
Mar 16, 2024 07:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi ya kijuba na ya kipuuza na kiongozi mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa, ndoto za kuigawa vipandevipande Iran zitazikwa kwenye kaburi la sahau kama zilivyozikwa njozi nyingine za maadui.