-
Iran yatiwa wasiwasi na kushtadi kampeni za chuki dhidi ya Uislamu
Mar 16, 2024 03:52Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu inatiwa wasiwasi na hatua ya kupanuka mtandao wa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani.
-
Marekani ndiye mshutumiwa nambari moja wa kuvunja haki za binadamu
Mar 15, 2024 22:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani ndiye mshutumiwa nambari moja wa uvunjaji wa haki za binadamu hasa hivi sasa ambao unausheheneza silaha za mauaji ya kimbari utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran: Hali ya Gaza inamfanya kila mwanadamu alie machozi ya damu
Mar 15, 2024 10:01Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amelitaja suala la Gaza na Palestina kuwa ndiyo kadhia ya kwanza ya Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Amir-Abdollahian: Adui Mzayuni hajaweza kufikia malengo yake katika vita vya Ghaza
Mar 15, 2024 04:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, adui Mzayuni hajaweza kufikia hata moja kati ya malengo aliyoyatangaza kuhusiana na vita vya Ghaza. Amir-Abdollahian ameyasema hayo katika salamu zake kwa viongozi wa makundi ya muqawama na wananchi wenye istikama na subira wa Lebanon na Palestina ambapo sambamba na kuenzi kumbukumbu za mashahidi wa Muqawama ametoa mkono wa kheri na baraka pia kwa mnasaba wa kuandama mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Iran yalaani kupewa uanachama Israel kwenye Baraza la Haki za Binadamu
Mar 14, 2024 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni ambao unafanya mauaji ya kimbari dhidi ya watoto wadogo huko Palestina haustahiki kabisa kuwa mwanachama wa mashirika ya haki za binadamu na ya misaada duniani likiwemo baraza la kupigania haki za wanawake la Umoja wa Mataifa.
-
Iran yalaani vikwazo vya upande mmoja vya Magharibi dhidi ya mataifa huru
Mar 14, 2024 10:43Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika makao makuu ya Umoja wa Umoja wa Mataifa mjini Geneva amesema: Vikwazo vya upande mmoja vimepelekea kukithiri machafuko ya kibinadamu kote duniani.
-
Rais wa Iran asisitiza maendeleo katika uga wa sayansi na teknolojia
Mar 14, 2024 03:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sayansi na teknoliojia ni kati ya maeneo ambayo maadui wanayatamani ili kuirudisha nyuma Iran ya Kiislamu na akasisitiza maendeleo katika uwanja huo.
-
Maneva ya pamoja ya muungano wa baharini kati ya Iran, China na Russia
Mar 14, 2024 03:45Msemaji wa maneva ya "Ukanda wa Usalama wa Baharini 2024" amesema kuwa dunia inashuhudia muungano mpya wa baharini kati ya Iran, China na Russia kwa ajili ya kudhamini usalama wa kaskazini mwa bahari ya Hindi.
-
Waziri wa Ulinzi : Iran imepiga hatua kubwa katika uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (Droni)
Mar 13, 2024 23:06Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani amesema kuwa uuzaji nje wa zana za kijeshi umeongezeka pakubwa katika miaka ya karibuni.
-
Amir-Abdollahian: Israel inatekeleza kwa makusudi sera za kuliangamiza taifa la Palestina
Mar 13, 2024 08:09Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, moja ya malengo hatari ya utawala ghasibu wa Israel katika kuizingira kikamilifu Gaza na kuzuia kutumwa misaada ni kuandaa mazingira ya kusambaratika kijamii na kiraia Ukanda huo.