-
Ndege isiyo na rubani ya Karrar yazifukuza ndege za Marekani katika anga ya Iran
Sep 04, 2023 00:43Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Iran amesema ndege isiyo na rubani ya Karrar imezionya mara kadhaa ndege za ujasusi za Marekani na ndege nyingine za kigeni na kuzitaka kuwa mbali na anga ya Iran.
-
Ufafanuzi aliotoa Waziri Amir-Abdollahian wa misimamo ya Iran kuhusu masuala ya Lebanon
Sep 04, 2023 00:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir-Abdollahian siku ya Ijumaa tarehe mosi Septemba alifanya mkutano na waandishi wa habari mjini Beirut, baada ya kukamilisha ziara yake nchini Lebanon na kufafanua kuhusu mihimili mikuu ya sera za nje za Iran sambamba na kubainisha mtazamo wa Jamhuri ya Kiislamu kuhusu matukio yanayojiri hivi sasa nchini Lebanon.
-
Maji mazito ya Iran ni bora zaidi duniani, yanauzwa dola elfu kwa lita
Sep 03, 2023 01:09Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) Behrouz Kamalvandi amesema maji mazito yanayozalishwa nchini yanashika nafasi ya kwanza duniani kwa ubora na kuongeza kuwa, nchi za Ulaya zina hamu sana ya kuyanunua.
-
Iran yakosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Kibinadamu la UN
Sep 02, 2023 08:00Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amekosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo.
-
Amir-Abdollahian aonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah na Spika wa Bunge la Lebanon
Sep 01, 2023 08:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonana na Katibu Mkuu wa Hizbullahi ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah na Spika wa Bunge la Lebanon, Nabih Berri.
-
Iran yatibua njama kubwa za Israel za hujuma dhidi ya sekta yake ya ulinzi
Sep 01, 2023 04:46Vikosi vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimezuia njama tata ya hujuma dhidi ya sekta ya ulinzi ya nchi, njama ambazo zilikuwa zikitekelezwa na shirika la kijasusi la Mossad, la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na viongozi wapigania ukombozi wa Palestina mjini Beirut
Sep 01, 2023 04:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amefanya kikao kirefu na viongozi wa harakati za muqawama za kupigania ukombozi wa Palestina za Hamas na Jihad Islami akiwa safarini huko Beirut, Lebanon.
-
Raisi: Umma wa Kiislamu ulioungana, ni kizuizi kwa ubeberu wa dunia
Aug 31, 2023 23:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ulimwengu wa Kiislamu ambao una umoja na mshikamano ndicho kizingiti kikubwa zaidi kwa ubeberu wa dunia.
-
Abdollahian: Iran itaendelea kusimama pamoja na Syria hadi kutokomeza kabisa ugaidi
Aug 31, 2023 08:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haja ya kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Syria na kusisitiza kwamba, Iran itaendelea kusimama pamoja na Syria katika kukamilisha kampeni yake dhidi ya ugaidi.
-
Pongezi za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwa sera za nje zinazotekelezwa na Serikali ya 13
Aug 31, 2023 05:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumatano alikuwa na mkutano na Rais pamoja na baraza lake la mawaziri, ambapo alipongeza utendaji mzuri na thabiti wa Serikali ya 13 katika baadhi ya sekta zikiwemo "kazi za miundombinu", "ukuaji wa vielezi vya uchumi mkuu" na "sera za kigeni".