-
Amir-Abdollahian: Askari wa Marekani ondokeni Asia Magharibi; rudini mlikotoka
Aug 31, 2023 00:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewashauri wanajeshi wa Marekani kurejea nyumbani na viongozi wa dola hilo la kibeberu kuwaachia watu wa Asia Magharibi eneo hilo.
-
Kiongozi Muadhamu apongeza sera ya Serikali ya 'ujirani' na kujiunga na jumuiya za kimataifa
Aug 30, 2023 10:10Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa shukurani na pongezi kwa serikali ya Rais Ebrahim Raisi kutokana na mafanikio iliyopata katika sera za nje, ikiwa ni pamoja na "sera yake ya ujirani" na juhudi ilizofanya za kujiunga na jumuiya za kimataifa.
-
Velayati: Uanachama wa BRICS umevunja sera ya US ya kuitenga Iran
Aug 29, 2023 23:02Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kupewa uanachama Iran katika kundi la BRICS kumesambaratisha sera ya Marekani ya kujaribu kuitenga Jamhuri ya Kiislamu.
-
Raisi: Maadui wameshindwa kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran
Aug 29, 2023 08:31Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema adui amefeli katika njama zake za kuitenga Jamhuri ya Kiislamu na dunia, na pia kuwakatisha tamaa wananchi wa nchi hii.
-
Amir-Abdollahian: Matembezi ya Arubaini ni nembo ya kupambana na dhulma
Aug 29, 2023 04:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: matembezi ya Arubaini ni nembo ya kupambana na dhulma, wito wa kukomboka na kielelezo cha mapambano yasiyo na kikomo ya kuithibitisha haki na uadilifu duniani.
-
Kanani: Marekani inapaswa kuondoka Syria kwa mujibu wa sheria za kimataifa
Aug 28, 2023 23:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuhusu harakati za kijeshi za Marekani katika eneo hili kwamba kuwepo kijeshi nchi hiyo ya kibeberu katika ardhi ya Syria ni kinyume kabisa cha sheria.
-
Iran yafanikiwa kuzalisha Cesium-137 radionuclide inayotumika katika viwanda vya nyuklia
Aug 28, 2023 01:15Wataalamu wa nyuklia wa Iran kwa mara ya kwanza wameweza kuzalisha mada ya Cesium-137 radionuclide ambayo ilikuwa inaagizwa kutoka nje.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Taliban afanya mazungumzo na wabunge wa Iran mjini Kabul
Aug 27, 2023 10:51Ujumbe wa wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) walioko ziarani nchini Afghanistan wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya Taliban katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul.
-
Kwa mnasaba wa Wiki ya Serikali; mafanikio matatu ya serikali ya awamu ya 13 katika sera za kigeni
Aug 27, 2023 09:11Miaka miwili inapita tangu serikali ya awamu ya 13 ya Iran inayoongozwa na Seyyid Ebrahim Raisi ichukue hatamu za uongozi, na siasa za nje ni moja ya maeneo ambayo mafanikio yake yamekuwa yakionekana na kuhisika waziwazi.
-
Wizara ya Ulinzi: Nchi kadhaa za Ulaya zimetuma maombi ya kuuziwa droni za Iran
Aug 27, 2023 00:16Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi kadhaa za Ulaya zimetuma maombi yao ya kutaka kuuziwa ndege zisizo na rubani za Iran.