-
Uanachama rasmi wa Iran katika kundi la BRICS; risala na matokeo
Aug 26, 2023 10:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekubaliwa rasmi na kuwa mwanachama wa BRICS miezi kadhaa tu baada ya kukubaliwa uanachama pia katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Iran: Tuko tayari kwa ajili ya kuharakisha mchakato wa kujiunga na Benki ya BRICS
Aug 26, 2023 08:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kiuchumi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuharakisha mazungumzo na mchakato wa kujiunga na benki ya kundi la BRICS
-
Ebrahim Raisi: BRICS ina umuhimu mkubwa katika uchumi na biashara duniani
Aug 25, 2023 23:28Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muungano wa kimataifa wa BRICS una nafasi na machango muhimu katika ushirikiano wa kiuchumi na kibiadhara duniani.
-
Droni ya "Mohajer 10," fakhari nyingine katika viwanda vya ulinzi vya Iran + Video
Aug 25, 2023 22:47Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametembelea viwanda vya kuzalisha zana za ulinzi na kuangalia kwa karibu mafanikio makubwa iliyopata Jamhuri ya Kiislamu katika uwanja huo. Amefanya ziara hiyo kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Viwanda vya Ulinzi vya Iran.
-
Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika
Aug 25, 2023 09:08Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema Tehran inataka kuwa na uhusiano na nchi za Kiafrika kwa kuzingatia msingi wa kuheshimiana na kufaidika, kinyume cha mataifa ya Magharibi ambayo yanataka tu kupora maliasili na utajiri wa Afrika.
-
Jeshi la Iran lazindua mazoezi makubwa ili kuongeza uwezo wa vita vya kielektroniki
Aug 25, 2023 08:50Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo Ijumaa limezindua mazoezi makubwa ya vita vya kielektroniki katika vitengo mbalimbali vya Jeshi kwa kutegemea vifaa vilivyobuniwa na kutengenezwa nchini ambavyo vimeongeza ustadi wa nchi katika vita vya kielektroniki.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Uanachama wa Iran katika BRICS utavunja sera za upande mmoja
Aug 25, 2023 08:46Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema: Uanachama wa Iran katika kundi la "BRICS" una ufanisi kubwa katika kuvunja za kibeberu za maamuzi ya upande mmoja na pua kuvunja ubabe Marekani katika uga wa kiuchumi.
-
Rais Ibrahim Raisi: Iran iko tayari kushirikiana na Tanzania katika nyuga mbalimbali
Aug 24, 2023 23:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wa Iran wa kushirikiana na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nyanja mbalimbali kama za kutoa huduma za uhandisi wa kiufundi, ujenzi wa mabwawa, mitambo ya kuzalisha umeme, kilimo na viwanda.
-
Raisi: BRICS inayaleta pamoja mataifa huru yanayopinga ubeberu
Aug 23, 2023 23:30Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jumuiya ya BRICS ni nguvu mpya inayoinukia kwa kasi duniani, na ambayo imefanikiwa kuyaleta pamoja mataifa huru yanayotaka kuwa na ushirikiano wa kiuchumi na kukabiliana na ubeberu.
-
Raisi: Ushirikiano wa Iran na Algeria ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu
Aug 23, 2023 03:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria azma ya taifa hili ya kuimarisha uhusiano wake na Algeria na kusisitiza kuwa, ushirikiano wa nchi mbili hizi ni kwa maslahi ya mataifa haya na ulimwengu wa Kiislamu kwa jumla.