-
Dkt. Velayati: Iran itaendelea kuunga mkono wananchi wa Palestina
Aug 23, 2023 08:29Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea na msimamo wake thabiti wa kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
-
Iran yazindua droni ya 'Mohajir-10' inayoruka kwa saa 24
Aug 22, 2023 23:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua ndege isiyo na rubani yenye uwezo wa kuruka kwa saa 24 mfululizo bila kusimama.
-
Iran yazalisha bidhaa ya pili ya kimkakati katika sekta ya nyuklia
Aug 22, 2023 22:54Maji mazito ni bidhaa ya pili ya kimkakati ya sekta ya nishati ya nyuklia baada ya uranium duniani na Iran ni moja kati ya nchi tano zinazozalisha bidhaa hii kwa usafi wa hali ya juu kiasi kwamba, nchi nyingi zinatazamia kununua maji mazito ya Iran licha ya vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Abdollahian asisitiza azma ya Iran ya kustawisha uhusiano na Algeria katika nyuga tofauti
Aug 22, 2023 07:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza azma ya taifa hili ya kupanua na kuimarisha ushirikiano wake na Algeria katika nyanja mbalimbali.
-
Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu UN alaani shambulio la kigaidi Shah Cheragh
Aug 22, 2023 07:53Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa taarifa inayolaani shambulio la hivi karibuni la kigaidi katika Haram ya Shah Cheragh katika mji wa Shiraz nchini Iran.
-
Rais Raisi na Serikali yake watoa ahadi tena ya kuyaenzi malengo matukufu ya Imam Khomeini (MA)
Aug 22, 2023 04:36Rais Ebrahim Raisi na mawaziri wa serikali yake leo wamezuru Haram ya Imam Khomeini (MA) na kutoa ahadi tena ya kuyaenzi na kuyadumisha malengo matukufu ya mwasisi huyo mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Baqeri: Madola makubwa ya kijeshi duniani yana hamu ya kupata mafanikio ya kiulinzi ya Iran
Aug 21, 2023 23:06Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa mnasaba wa Siku ya Viwanda vya Zana za Ulinzi vya Iran na kusisitiza kuwa, madola makubwa ya kijeshi duniani yana hamu ya kuwa na mafanikio ya kiulinzi ya Iran.
-
Iran na Muqawama zilivyoshika mpini wa masuala ya eneo la Asia Magharibi
Aug 21, 2023 23:05Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameashiria uafriti unaofanywa katika kila pembe ya ulimwengu na ubeberu wa dunia ukiongozwa na Marekani na kueleza kwamba, hii leo Marekani inazidi kudidimia na kuyoyoma kuliko ilivyowahi kuwa wakati wowote ule; na leo adui yuko kwenye kilele cha udhaifu.
-
Iran na Algeria zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kimataifa
Aug 21, 2023 09:42Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran na mwenzake wa Algeria wamesisitiza udharura wa kustawishwa uhusiano wa kiuchumi, kieneo na kimataifa wa pande mbili.
-
Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak
Aug 21, 2023 07:39Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran.