-
Iran yawasilisha malalamiko Denmark na Uswidi kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Aug 21, 2023 03:29Iran imewaita wanadiplomasia wa Uswidi na Denmark katika mji mkuu Tehran kubainisha malalmiko yake makali kuhusu vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hizo mbili za Nordic.
-
Jeshi la IRGC la Iran latimua helikopta za Jeshi la Majini la Marekani zilizojaribu kukiuka mpaka
Aug 21, 2023 01:08Picha za video zilizotolewa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) zinaonyesha boti za mwendo kasi za Iran zikitimua helikopta za Jeshi la Marekani ambazo zilikuwa zinajaribu kujipenyeza katika mpaka wa Iran. Baada ya kupokea onyo la IRGC helikopta hizo zilirejea katika meli ya kivita ya Marekani yenye kusheheni helikopta iliyokuwa katika eneo hilo kabla ya kuingia katika eneo la bahari ya Iran.
-
Kamanda Mkuu wa IRGC: Njia ya mapigano na makabiliano na Waistikbari inaendelea
Aug 20, 2023 08:19Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: njia ya mapigano na makabiliano na waistikbari na maadui wa Uislamu na Iran inaendelea bila ya kusitishwa hata kwa lahadha ndogo.
-
Ayatullah Khamenei: Njia ya kukabiliana na maadui wa Mapinduzi ya Kiislamu ni muqawama na kusimama kidete
Aug 20, 2023 03:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika kikao chake na wajumbe wa Kongamano la Kitaifa la Kuwakumbuka Mashahidi 3400 wa Mkoa wa Ardabil nchini Iran kuwa, njia ya kukabiliana na maadui wa Mapinduzi ya Kiislamu ni mapambano na kusimama kidete.
-
Iran: Mapinduzi, vikwazo ni vyombo vya mabeberu vya kuyakandamizi mataifa huru
Aug 19, 2023 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, madola ya kibeberu na ya kiistikbari yanatumia kila njia kuyakandamiza mataifa huru duniani.
-
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, mpeperushaji bendera ya mapambano dhidi ya ugaidi
Aug 19, 2023 22:55Akizungumza Alhamisi asubuhi katika kikao cha 24 cha Baraza Kuu la Makamanda na Maafisa wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza kuwa kuundwa, kustawi, kufanikiwa na kushinda migogoro pamoja na utendaji wa jeshi hilo, hakuna mfano wake na ni fahari kubwa katika mtazamo wa kijeshi, umma, utoaji huduma na ujenzi wa taifa.
-
"Kupanga mapinduzi, kuwaunga mkono madikteta ni katika sera za UK, US"
Aug 19, 2023 07:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kupanga na kufadhili mapinduzi, kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine na kuwaunga mkono madikteta ni katika sera kuu za Marekani na Uingereza katika kipindi chote cha historia.
-
Raisi na Modi wajadili njia za kuimarisha uhusiano wa Iran na India
Aug 19, 2023 03:23Rais Ebrahim Raisi wa Iran na Waziri Mkuu wa India Shri Narendra Modi wamejadili njia za kuimarisha uhusiano wa pande mbili, ushirikiano wa pande zote na utumizi wa uwezo kamili wa Bandari ya Chabahar.
-
Raisi: Bila juhudi za IRGC, bara Ulaya lingetawaliwa na ISIS
Aug 19, 2023 00:22Rais Ebrahim Raisi wa Iran amepongeza nafasi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika kukabiliaina na ugaidi katika eneo la Asia Magharibi na kueleza kuwa, bila jitihada za SEPAH, nchi za Ulaya hivi sasa zingekuwa zimetamalakiwa na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Marekani, Utawala wa Kizayuni ni wahusika wa hujuma ya kigaidi Shah Cheragh
Aug 18, 2023 08:48Khatibu wa Muda wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kuna mikono ya Marekani na Wazayuni katika shambulio la kigaidi hivi karibuni dhidi ya Haram Takatifu ya Hadhrat Ahmad bin Musa (AS) maarufu kama Shah Cheragh kusini mwa Iran.